Hizi hapa bifu zaidi ya 60 zilizowahi kutikisa hapa nchini zinazohusisha wanamuziki, watayarishaji wa muziki, media nk

MATONYA VS TUNDA MAN. issue tunda anadai vailet aliandika yy ila matonya kwao kulikuwa mambo safi yy akawahi studio kwa DUNGA akarekodi ngoma na ngoma ikapaa jamaa kapata fame kabla ya tunda man ikatoka, na hapo ndipo tunda alikutana na Binam yake wa kike alikuwa anjiita MATMOO wakatimba Bongo record kwa majani wakarekod ngoma inaitea MAPENZI NA DHIKI na hapo ndipo tunda alianzia kufahamika maana ngoma dzain ilienda na jina la tunda kuliko hata mhusika mwenyewe ambae ni Binti MATMOO, na hapo ndipo nyota ya tunda ilianzia kung'aa akatona ngoma kama Uzuri wake, Pesa ft madee, mapenzi ft Richard, keshakuwa ft Pasha, msambinyumba ft alikiba etc, jamaa alitisha na sauti yake ya kulalamika flani ivi lakini bahati mbaya sana sauti yake inaonekana kama kuchuja hivi katika hiki kizaz cha yuda escaliote amebaki kuwa masanii wa simba sport clab na mtaalam wa kubet Africa mashariki, nawakumbusha tu mwamba mwaka juzi alipoga jackpot 40m ya mhind.

TUNDA MAN VS SPACK, Inasemekana spack ndie aliandika ile ngoma ya nipe riport lakini cha ajabu tunda akapata umaarufu kupitia ngoma kuliko Spack ambae ndio mtunzi, hii ilipelekea spack kuandika remix ya tangu nitoke jera akijua itahit kama nipe riport ila ikapuyanga,

MADEE VS NAY WA MITEGO, ugomvi ni kuhusu ni ni nani raisi manzese yaani nani anakibalika manzese kuliko mwenzie,

ALIKIBA NA DIAMOND, Sababu ni Diamond kufuta verse ya Alikiba kwenye ngoma ya lala salama kisha mond katoka front kasema kiba ndie kamfuta kwenye ngoma ya single boy aliyomshirikisha jaydee,

JOSEE CHAMILION NA MDOGO WAKE WEASAL,
Inasemekana chamilin alikjwa anamsnitch dogo kwa mathor yao kuwa dogo mhuni, hadi siku moja jamaa kawaotea kamilion akimteta kwa b mkubwa wake na hapo dogo akamtembezea kichapo kitakatifu braza wake ambae ni josee chamilion ila baadae walisolve kindugu,

DIAMOND PLATNUMZ VS BOB JUNIOR, Issue walikuwa wanagombania ni nani rais wa wawasafi yaani yaani neno Wasafi, masharobaro lilikuwa msemo wa Bob junior hata kabla mond hajatoka ila baada ya mond kutoa ngoma ya kamwambie ambayo ameifanyia sharobaro records ambayo sharobaro ni neno sawa na wasafi rekords kwa maana nyingine, na hapo ndipo mond kavimba kichwa kaanza kujiita raisi wa masharobaro/ wasafi huku mmiliki wa sharobaro reckord A k a, wasafi record Bob junior akibaki jina tu, hii ilileta shida hadi sepetu akamtukana bob junior na kupelekana kituoni. Ila all in all jina wasafi mnalolijua asili yake ni sharobaro record ambayo mwanzilishi wake na mwasisi ni Bob junior ila jina likabebwa na mwamba mwenye nyota yake mjini na amelipaisha kimataifa na linamuingizia mpunga huku Bob junior akipotea kabisa katika raman ya sanaa.

MABIFU MENGINE YAPO MENGI ILA KIKUBWA SIJUI CHANZO CHAKE, NA KWA TAALUMA YANGU SIWEZI KUONGEA KUTU BILA KUWEKA FACT.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom