ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,414
- 4,935
Jamani kuna shule za serikali, tena mzazi aingii garama hata kidogo, yani ada bure, chakula ugali na maharage ya kuchemsha., hakuna walimu, maabara mbovu lakini wamefaulu vizuri. mi nawashangaa mnawasifu watu wanalipa ada mil 3, walimu wapo wa kutosha , maabara safi, mazingira safi. hao wanabebwa sana sio kwamba wana akili, sasa cheki matokeo ya watoto ambao mzani hajaingia gharama zaidi ya laki 5 form 1 had 4, linganisha na hao wa mil 15 miaka minne wa kubebwa, kusoviwa past paper
KIBAHA DIV-I = 72; DIV-II = 22; DIV-III = 4; DIV-IV = 1; DIV-0 = 0
MZUMBE DIV-I = 73; DIV-II = 24; DIV-III = 12; DIV-IV = 1; DIV-0 = 0
ILBORU DIV-I = 57; DIV-II = 34; DIV-III = 12; DIV-IV = 4; DIV-0 = 0
TABORA DIV-I = 49; DIV-II = 35; DIV-III = 5; DIV-IV = 5; DIV-0 = 0
WAPENI HONGERA