Nguo 100 za watoto kwa elfu 50 tu

The Industry

Senior Member
Sep 1, 2012
114
30
Hizi ni nguo za mnadani za watoto kuna kiroba cha nguo 100 kwa elfu 50

Zinapatikana Bunju A Dar es Salaam

Ukitaka kuja kuziona nitafute kwa namba 0684848801

NI NGUO ZA WATOTO TU ZA MTUMBA
MCHANGANYIKO ZA KUIME NA KIKE
KWANZIA 0-12 MIAKA.
View attachment 2912302
 
Picha iko wapi ya hicho kiloba cha nguo?alafu unasema hizi.
Nguo ndio hizo hapo zipo ndani ya fremu
20240222_153600.jpg

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Karibuni sana nguo ni nzuri.
Usiogope kuhusu bei ni kwamba huwa nafungua mabalo mwenyewe na kuziuzia kwenye fremu sasa kuna baadhi inabidi zitoke ili mzigo mwingine upate nafasi.
20240222_153600.jpg

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
🤭🤔🤔🤔hizo zizimue na zinazokuja mix utauza..huo mzigo ni mdogosana mtu kununua azunguke nao minadani
 
hizo zizimue na zinazokuja mix utauza..huo mzigo ni mdogosana mtu kununua azunguke nao minadani
Ni kweli mzigo uliopita nilifanya hivyo ila kwasasa zinazidi kuwa nyingi na sehemu niliyopo ni ndani ndani sana kwahiyo asilimia kubwa wateja wangu ni walewale wa mtaani kwangu

Hii inawafaa wale wasio na mtaji wa kununua balo zima.

Elfu 50 inatosha sana kwa kijana kuanza kupambana mtaani kuliko kukaa chini kusubiri mtaji wa mamilioni.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli mzigo uliopita nilifanya hivyo ila kwasasa zinazidi kuwa nyingi na sehemu niliyopo ni ndani ndani sana kwahiyo asilimia kubwa wateja wangu ni walewale wa mtaani kwangu

Hii inawafaa wale wasio na mtaji wa kununua balo zima.

Elfu 50 inatosha sana kwa kijana kuanza kupambana mtaani kuliko kukaa chini kusubiri mtaji wa mamilioni.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Sawa kabisa wahitaji wanakuja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom