Sabry001
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 1,064
- 353
Nasali kwa bidii zoezi lisije kwa makabwela nmb.....maana shule na dispensari zitafungwa!
mbona nmb tayari?
Nasali kwa bidii zoezi lisije kwa makabwela nmb.....maana shule na dispensari zitafungwa!
crdb mbona wana nafuu. Nbc ni unoko mtupu, atm access ziko blocked mpaka uwe umeupdate account yako. Kibaya zaidi hawajali uko wapi kwa sasa, ukitaka wakufungulie inakubidi ukakamilishe taratibu zao tena kwa kurudi kule ulikofungulia akaunti. Taratibu zao ni ngumu sana kulinganisha na benki zingine. Sasa inawezekana wao ndio wahanga wanaolengwa na zoezi hili, pesa chafu nyingi sana zinapitia/zimepitia nbc.
Nasali kwa bidii zoezi lisije kwa makabwela nmb.....maana shule na dispensari zitafungwa!
Hata mimi nina jamaa yangu yuko nje ya nchi, ni mtumishi wa serikali mshahara wake unaingia bank mpaka sasa huyu anafanyeje?. Kwa aliye na taarifa yoyote tafadhari