dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,603
- 60,862
hahaha noma sanaakili haitulii eti kwa nini nimenunua infinix kwa 700k
hahaha noma sanaakili haitulii eti kwa nini nimenunua infinix kwa 700k
Simu upigwe na wajanja wa Kariakoo usingizie Waarabu? Ujuha huo.Nimenunua Samsung Galaxy S10 plus duos dukani kwa bei ya shilingi 700k ila kabla sijafika mbali nikaingia kwanza mgahawani kupata soda maana jua ni kali sana nje huku nafanya settings za hio simu nimeingia kwenye email na google account kuna account ya mtu imesajiliwa nikasema sio tabu nikai reset wapi hazifutiki nikaireset teka account za hilo jina hazifutiki
Nikarudi pale dukani mbio namwambia alieniuzia vipi mbona simu ina account za mtu mwingine alafu hazifutiki nikamwambia nipe simu nyingine ili nii unibox mwenye akaanza ooh unajua hizi simu sio mpya zinakujaga zimeisha tumika kwahio hata nikikikupa nyingine utarudi tu ilete tukuflashie kwenye computer ili iwe sawa.
Nikasema hapana nimeghaili nipe simu mpya tu A series akasema kwa pesa yako inatoshea A32 na infinix zero x pro sasa nimekaa nalinganisha specification za simu hizo mbili naona infinix zero x pro anamfunika Samsung A32 imenibidi nichukue tu hiyo infinix zero x pro kwa 700k lakini nimefika home akili haitulii eti kwa nini nimenunua infinix kwa 700k au hao waarabu watakuwa wanatumia mizizi ya kumlagahai mteja!
Ninachokiona huna uzoefu wa bei za simu na simu zenyewe...
Huwezi ondoka dukani hujatest simu wala kuifanyia settings za awali...
...c bora hata ungeenda kwa redmi note 10 pro max ungepata kitu bora kwa hyo pesa yako,why why mtoa mada? Nmesononeka mno
Huyo ni tapeli. Na kosa unalofanya ni moja kumchekea wakati anacheza na pesa yako na akili yako. Laki saba ni pesa nyingi sana kupewa simu ya ajabu ajabu kwa pesa nyingi hivyo ni bora ungeagiza mtu huko China akuletee simu kama Oppo au Huawei at least ungekuwa umepatia simu kiwango. Sio hiyo remix ya Tecno.Nimenunua Samsung Galaxy S10 plus duos dukani kwa bei ya shilingi 700k ila kabla sijafika mbali nikaingia kwanza mgahawani kupata soda maana jua ni kali sana nje huku nafanya settings za hio simu nimeingia kwenye email na google account kuna account ya mtu imesajiliwa nikasema sio tabu nikai reset wapi hazifutiki nikaireset teka account za hilo jina hazifutiki
Nikarudi pale dukani mbio namwambia alieniuzia vipi mbona simu ina account za mtu mwingine alafu hazifutiki nikamwambia nipe simu nyingine ili nii unibox mwenye akaanza ooh unajua hizi simu sio mpya zinakujaga zimeisha tumika kwahio hata nikikikupa nyingine utarudi tu ilete tukuflashie kwenye computer ili iwe sawa.
Nikasema hapana nimeghaili nipe simu mpya tu A series akasema kwa pesa yako inatoshea A32 na infinix zero x pro sasa nimekaa nalinganisha specification za simu hizo mbili naona infinix zero x pro anamfunika Samsung A32 imenibidi nichukue tu hiyo infinix zero x pro kwa 700k lakini nimefika home akili haitulii eti kwa nini nimenunua infinix kwa 700k au hao waarabu watakuwa wanatumia mizizi ya kumlagahai mteja!
Si ndio hapo. Mtu unashindwa vipi kudai pesa yako kwa mtu ambaye ameshaonyesha dhamira ya kutaka kukutapeli.Alivyosema tu simu siyo mpya ungedai pesa yako kwasababu tayari ameonyesha ni tapeli.
Exactly. Mimi nilishanunulishwa viatu oversized sababu wauzaji walikuwa wananizonga na kunambia hivyo havina shida nikavaa napendeza.Brother ukienda dukani uwe umeshafanya research unataka kununua nini, kamwe usibadilishe mawazo yako. Muuzaji ana kupa ushauri ununue bidhaa nyingine kwa faida yake sio yako.
Hiyo Simu uliyonunua sio mbaya,ni nzuri na Wala usiwaze Wala kujikera. Pia Infinix zinakaa na chaji.Nimenunua Samsung Galaxy S10 plus duos dukani kwa bei ya shilingi 700k ila kabla sijafika mbali nikaingia kwanza mgahawani kupata soda maana jua ni kali sana nje huku nafanya settings za hio simu nimeingia kwenye email na google account kuna account ya mtu imesajiliwa nikasema sio tabu nikai reset wapi hazifutiki nikaireset teka account za hilo jina hazifutiki
Nikarudi pale dukani mbio namwambia alieniuzia vipi mbona simu ina account za mtu mwingine alafu hazifutiki nikamwambia nipe simu nyingine ili nii unibox mwenye akaanza ooh unajua hizi simu sio mpya zinakujaga zimeisha tumika kwahio hata nikikikupa nyingine utarudi tu ilete tukuflashie kwenye computer ili iwe sawa.
Nikasema hapana nimeghaili nipe simu mpya tu A series akasema kwa pesa yako inatoshea A32 na infinix zero x pro sasa nimekaa nalinganisha specification za simu hizo mbili naona infinix zero x pro anamfunika Samsung A32 imenibidi nichukue tu hiyo infinix zero x pro kwa 700k lakini nimefika home akili haitulii eti kwa nini nimenunua infinix kwa 700k au hao waarabu watakuwa wanatumia mizizi ya kumlagahai mteja!
Kitendo cha kuuzwa laki 7 inatosha kujua kuwa ni usedHuo ni ulaghai, kwanini aisikwambie toka mwanzo kuwa simu sio brand new ni used ilikotoka. Ungewaambia wakupe mkwanja wako tu.
Biashara za bongo janja janja.
Angesema kuliko kuchukua simu anaiweka kwenye box kama mpya, unahisi ni watu wangapi wanazinunua wakifikiri ni mpya. Maana lengo hapo ni kuwaaminisha wanunuzi kuwa ni mpya. Huo ni ulaghaiKitendo cha kuuzwa laki 7 inatosha kujua kuwa ni used
Huwezi kupata S10+ kwa bei bei hiyo
Ndo bei yakeHata mimi nimekuona boya kwakubuy Infinix kwa 700k.
Umepigwa bro