Not true, nimetumia infinix mwaka 1 na nusu kabla ya kuhamia Sumsung.
Shida niliyoona ni kuwa na ads kibao na ukizifuta apps usizotaka baadae zinarudi tatizo ambalo silioni kwa Sumsung.
Hiyo alonunua mdau cjaitumia, so kwa matumizi ya kawaida sidhani kama ina shida.
Anyway, kwa comments za humu unaweza kuichukia simu yako hata kama ni nzuri.
Nilichojifunza ni kuridhika kwa kile nikiwezacho na kadili uchumi unavyokua ndo natafuta vya juu nitakavyoweza.
Kwa mnunuaji: Love what u got, enjoy it na kama ni genuine product haitakusumbua, trust me!