Hizi flagship zitatuua na pressure aisee

Wanangu nimefatailia bei ya hii infinix kwenye maduka makubwa yenye bei elekezi ni 850,000 mpaka 800,000 tigo shop wanaziuza 800,000 ni mid Lange phone nzuri sema inaponzwa na jina lake la INFINIX
Infinix zero x pro ni simu nzuri sana tatizo watu wanataja tu INFINIX bila kuangalia specifications zake
 
Ata kama pesa ni yako ndo ununue infinix kwa 700k kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo bei yake
Hapo ni tigo shop

IMG_20220403_124202.jpg
 
Exactly. Mimi nilishanunulishwa viatu oversized sababu wauzaji walikuwa wananizonga na kunambia hivyo havina shida nikavaa napendeza.

Nimefika home navaa naviona hivi viatu sio size kabisa. Kesho nikarudi kuwaambia wanibadilishie. Wakanigomea kabisa kuvirudisha wakagoma.

Wanasema wewe ukishanunua kitu na kuondoka nacho unakirudishaje tena sokoni. Nikawaambia mbona hata sijavivaa kabisa wala hata kutembea navyo zaidi ya kuvijaribu tu. Wakanikomalia ile ya kugoma kabisa.

Nikasema haina noma nikaachana nao. Tokea siku hiyo nikitaka kununua kitu muuzaji akianza kulazimisha ninunue au kunishawishi nichukue anachosuggest yeye kwa usalama wa pesa yangu huwa naondoka kimya bila kuongea lolote maana najua nikiendelea kumsikiliza jitajikuta nimenunua kitu ambacho baadae nitajutia .
Nimecheka kama fala yaani.
 
Nimenunua Samsung Galaxy S10 plus duos dukani kwa bei ya shilingi 700k ila kabla sijafika mbali nikaingia kwanza mgahawani kupata soda maana jua ni kali sana nje huku nafanya settings za hio simu nimeingia kwenye email na google account kuna account ya mtu imesajiliwa nikasema sio tabu nikai reset wapi hazifutiki nikaireset teka account za hilo jina hazifutiki

Nikarudi pale dukani mbio namwambia alieniuzia vipi mbona simu ina account za mtu mwingine alafu hazifutiki nikamwambia nipe simu nyingine ili nii unibox mwenye akaanza ooh unajua hizi simu sio mpya zinakujaga zimeisha tumika kwahio hata nikikikupa nyingine utarudi tu ilete tukuflashie kwenye computer ili iwe sawa.

Nikasema hapana nimeghaili nipe simu mpya tu A series akasema kwa pesa yako inatoshea A32 na infinix zero x pro sasa nimekaa nalinganisha specification za simu hizo mbili naona infinix zero x pro anamfunika Samsung A32 imenibidi nichukue tu hiyo infinix zero x pro kwa 700k lakini nimefika home akili haitulii eti kwa nini nimenunua infinix kwa 700k au hao waarabu watakuwa wanatumia mizizi ya kumlagahai mteja!
Umenunua simu used 100%
 
Kwahio mkuu nisiwaze sana sijapigwa ndio bei zake kulingana na specification zake ina feature nzuri kama hii ya kuzoom picha ilioko mbali ×60
Hiyo simu baada ya miezi sita inaanza kujiwasha tochi, kutuma meseji na kujibu..kama unapicha za ajabu atashangaa imetuma kwenye group la familia.
 
Hujapigwa ni nzuri kwa bei hiyo
Tatizo watu wamekariri majina
Ni bora kununua simu ya kawaida mpya kuliko "flagship" refurbished
 
Nimenunua Samsung Galaxy S10 plus duos dukani kwa bei ya shilingi 700k ila kabla sijafika mbali nikaingia kwanza mgahawani kupata soda maana jua ni kali sana nje huku nafanya settings za hio simu nimeingia kwenye email na google account kuna account ya mtu imesajiliwa nikasema sio tabu nikai reset wapi hazifutiki nikaireset teka account za hilo jina hazifutiki

Nikarudi pale dukani mbio namwambia alieniuzia vipi mbona simu ina account za mtu mwingine alafu hazifutiki nikamwambia nipe simu nyingine ili nii unibox mwenye akaanza ooh unajua hizi simu sio mpya zinakujaga zimeisha tumika kwahio hata nikikikupa nyingine utarudi tu ilete tukuflashie kwenye computer ili iwe sawa.

Nikasema hapana nimeghaili nipe simu mpya tu A series akasema kwa pesa yako inatoshea A32 na infinix zero x pro sasa nimekaa nalinganisha specification za simu hizo mbili naona infinix zero x pro anamfunika Samsung A32 imenibidi nichukue tu hiyo infinix zero x pro kwa 700k lakini nimefika home akili haitulii eti kwa nini nimenunua infinix kwa 700k au hao waarabu watakuwa wanatumia mizizi ya kumlagahai mteja!

Pamoja na yote yalokukuta ila siungi mkono kununua infinix kwa laki 7
 
Hujapigwa ni nzuri kwa bei hiyo
Tatizo watu wamekariri majina
Ni bora kununua simu ya kawaida mpya kuliko "flagship" refurbished
Ila kweli mfano mm sinunui simu used nataka nifungue Boksi mwenyewe ila angerudi tungemshauri na wakina Vivo, Redmi ila sio mbaya mm kinacho nikera Tecno kila unavotumia inajipunguza yenyewe mauwezo
 
Hiyo simu baada ya miezi sita inaanza kujiwasha tochi, kutuma meseji na kujibu..kama unapicha za ajabu atashangaa imetuma kwenye group la familia.
Mkubwa hizo flagship unazo ziona ni imara basi zisinge jazana karia koo madukani nyingi zikiwa ni mbovu kutoka nchi za nje zinakarabatiwa zinauzwa na haziponi matatizo yake usikalili kila kitu kina mwanzo na mwisho wake
 
Nimenunua Samsung Galaxy S10 plus duos dukani kwa bei ya shilingi 700k ila kabla sijafika mbali nikaingia kwanza mgahawani kupata soda maana jua ni kali sana nje huku nafanya settings za hio simu nimeingia kwenye email na google account kuna account ya mtu imesajiliwa nikasema sio tabu nikai reset wapi hazifutiki nikaireset teka account za hilo jina hazifutiki

Nikarudi pale dukani mbio namwambia alieniuzia vipi mbona simu ina account za mtu mwingine alafu hazifutiki nikamwambia nipe simu nyingine ili nii unibox mwenye akaanza ooh unajua hizi simu sio mpya zinakujaga zimeisha tumika kwahio hata nikikikupa nyingine utarudi tu ilete tukuflashie kwenye computer ili iwe sawa.

Nikasema hapana nimeghaili nipe simu mpya tu A series akasema kwa pesa yako inatoshea A32 na infinix zero x pro sasa nimekaa nalinganisha specification za simu hizo mbili naona infinix zero x pro anamfunika Samsung A32 imenibidi nichukue tu hiyo infinix zero x pro kwa 700k lakini nimefika home akili haitulii eti kwa nini nimenunua infinix kwa 700k au hao waarabu watakuwa wanatumia mizizi ya kumlagahai mteja!
Umepigwa.

Hata s10 used hio haikua bei yake.
 
Alivyosema tu simu siyo mpya ungedai pesa yako kwasababu tayari ameonyesha ni tapeli.
Kama ni waarabu huwa hawarudishi hela kirahisi hvyo mzee. Ilishanikuta mahala fln wakawa wakali sana ikabidi nichukue tu product nyingine
 
Back
Top Bottom