Hizi flagship zitatuua na pressure aisee

Nimenunua Samsung Galaxy S10 plus duos dukani kwa bei ya shilingi 700k ila kabla sijafika mbali nikaingia kwanza mgahawani kupata soda maana jua ni kali sana nje huku nafanya settings za hio simu nimeingia kwenye email na google account kuna account ya mtu imesajiliwa nikasema sio tabu nikai reset wapi hazifutiki nikaireset teka account za hilo jina hazifutiki

Nikarudi pale dukani mbio namwambia alieniuzia vipi mbona simu ina account za mtu mwingine alafu hazifutiki nikamwambia nipe simu nyingine ili nii unibox mwenye akaanza ooh unajua hizi simu sio mpya zinakujaga zimeisha tumika kwahio hata nikikikupa nyingine utarudi tu ilete tukuflashie kwenye computer ili iwe sawa.

Nikasema hapana nimeghaili nipe simu mpya tu A series akasema kwa pesa yako inatoshea A32 na infinix zero x pro sasa nimekaa nalinganisha specification za simu hizo mbili naona infinix zero x pro anamfunika Samsung A32 imenibidi nichukue tu hiyo infinix zero x pro kwa 700k lakini nimefika home akili haitulii eti kwa nini nimenunua infinix kwa 700k au hao waarabu watakuwa wanatumia mizizi ya kumlagahai mteja!
Wewe mwenye ndio hujatuliza akili pesa ya poco f3 mpya kabisa hapo mjini aliexpress ,au masoko mengine badiliken muanze kujifunza na kuagiza vitu nje mtakuja nishukuru siku moja
 
Pole sana..
 
Hiyo simu inawezekana hujapigwa kwa maana yakwamba ndio bei zake hizo

Tatizo hapa ni kwamba ubora wa hiyo simu kulinganisha na simu za kampuni makini ndio tatizo

Kwa hiyo 700k ungeweza kupata simu kali sana mpya au used Kwa Samsung, Oppo
 
Kwa Samsung used kupata nzuri na nzima nikubahatisha labda mpya na mpya kwa bei hiyo unapata samsung A32 ambayo inakalishwa pakubwa na hii zero x pro
 
Wewe mwenye ndio hujatuliza akili pesa ya poco f3 mpya kabisa hapo mjini aliexpress ,au masoko mengine badiliken muanze kujifunza na kuagiza vitu nje mtakuja nishukuru siku moja
Poco f3 kibongo bongo bei yake imesimama ni zaidi ya 1,000,000 na hiyo kuagiza kwa 700,000 kunakupigwa na kitu kizito au kuipata
 
Dah! Mi dukani kwa kweli hawaniwezi. Nikienda kununua uma nikakuta huna uma lakini unanishauri ninunue kijiko kwa kuwa ni kizuri kuliko uma, sitakuelewa kabisa. Eti siku hizi tumeacha kabisa kununua uma maana hazitoki, wateja wetu wote wananunua kijiko . Ukinipa kauli za hivyo naishia kukuangaliaaa na kusema hiiii! Bora uwe na uma na kijiko halafu ndio unishauri hivyo kwa mbaaaali naweza nikajaribu kukuelewa kama nitaweza.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Poco f3 kibongo bongo bei yake imesimama ni zaidi ya 1,000,000 na hiyo kuagiza kwa 700,000 kunakupigwa na kitu kizito au kuipata
Acha uongo unapigwaje last tym niliipata kwa 7na 80 kulikua na sell kule alie ,pia nikadaka version ya kichina k40 kwa 690000 mjini taobao
 
Poco f3 kibongo bongo bei yake imesimama ni zaidi ya 1,000,000 na hiyo kuagiza kwa 700,000 kunakupigwa na kitu kizito au kuipata
Mkuu mie nilikua kilaza wa mwisho ila nilipotuliza akili na kujifunza kupitia manguli wa humu kidogo namshukuru Allah nimeiva
 
Hiyo simu baada ya miezi sita inaanza kujiwasha tochi, kutuma meseji na kujibu..kama unapicha za ajabu atashangaa imetuma kwenye group la familia.
Not true, nimetumia infinix mwaka 1 na nusu kabla ya kuhamia Sumsung.

Shida niliyoona ni kuwa na ads kibao na ukizifuta apps usizotaka baadae zinarudi tatizo ambalo silioni kwa Sumsung.

Hiyo alonunua mdau cjaitumia, so kwa matumizi ya kawaida sidhani kama ina shida.

Anyway, kwa comments za humu unaweza kuichukia simu yako hata kama ni nzuri.

Nilichojifunza ni kuridhika kwa kile nikiwezacho na kadili uchumi unavyokua ndo natafuta vya juu nitakavyoweza.

Kwa mnunuaji: Love what u got, enjoy it na kama ni genuine product haitakusumbua, trust me!
 
Ngoja kwanza
Screenshot_20220403-102228-345.jpg
Screenshot_20220403-102208-709.jpg
Screenshot_20220403-102136-824.jpg
 
Du. Hii ni kali. Kumbe Bongo ni mpaka uifungue na ku-test hapo hapo? Mimi nimezoea majuu unaichukuwa kwenye box unakwenda kufungulia nyumbani na unakuta kila kitu kipya na kiko sawa!
Tatizo wengi hawafatilii simu ni hvi hzi S series Samsung kwa hapa bongo kuanzia S8,S9,S10 na S20 kwa sasa hapa bongo hakuna mpya hzo unazoona kariakoo zote ni refurb asikudanganye mtu eti S10 full boksi mpya ni ujanja....

NB ka una pesa ka mtoa mada tujifunze kununua vitu kwa Authorized dealers...

Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
 
Du. Hii ni kali. Kumbe Bongo ni mpaka uifungue na ku-test hapo hapo? Mimi nimezoea majuu unaichukuwa kwenye box unakwenda kufungulia nyumbani na unakuta kila kitu kipya na kiko sawa!

Bongo utakutana na wahuni, ufungiwe kipande cha Kosoma/Mbuni/Jamaa...Wewe wa majuu huwezi elewa haya
 
Simu upigwe na wajanja wa Kariakoo usingizie Waarabu? Ujuha huo.

Wewe unauziwa simu huelewi kuwa hii mpya, hii refurbished? umekwenda umeeleweshwa kuwa hii ni used na hata tukikupa nyingine ni yale yale labda chukuwa hii au hii, ukubali mwenyewe usingizie "Waarabu", wachei ujinga huo.
Bibi mbona unawatetea sana waarabu kunani hapo?
 
///////////////
Nimenunua Samsung Galaxy S10 plus duos dukani kwa bei ya shilingi 700k ila kabla sijafika mbali nikaingia kwanza mgahawani kupata soda maana jua ni kali sana nje huku nafanya settings za hio simu nimeingia kwenye email na google account kuna account ya mtu imesajiliwa nikasema sio tabu nikai reset wapi hazifutiki nikaireset teka account za hilo jina hazifutiki

Nikarudi pale dukani mbio namwambia alieniuzia vipi mbona simu ina account za mtu mwingine alafu hazifutiki nikamwambia nipe simu nyingine ili nii unibox mwenye akaanza ooh unajua hizi simu sio mpya zinakujaga zimeisha tumika kwahio hata nikikikupa nyingine utarudi tu ilete tukuflashie kwenye computer ili iwe sawa.

Nikasema hapana nimeghaili nipe simu mpya tu A series akasema kwa pesa yako inatoshea A32 na infinix zero x pro sasa nimekaa nalinganisha specification za simu hizo mbili naona infinix zero x pro anamfunika Samsung A32 imenibidi nichukue tu hiyo infinix zero x pro kwa 700k lakini nimefika home akili haitulii eti kwa nini nimenunua infinix kwa 700k au hao waarabu watakuwa wanatumia mizizi ya kumlagahai mteja!
hahaahhaahhahahh
 
Back
Top Bottom