Hizi ‘Dressing Code’ za Rais Magufuli nimezielewa

Kuna umri ukishafika lazima mavazi yabadilike,mtu yupo home sidhani kama angepiga suti na Mchongoko(MOKASINI),mie naona angepiga Tracksuit za Tanzania na Raba hizo hizo ingependeza zaidi.
Kuvaa ma truck suit usawa huu wa joto ni ushamba! Wewe mwanajeshi nini? Sasa hivi ni mwendo wa pamba za cotton tu, truck suit gani ni cotton na jua hili..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pombe kafanya makosa matatu. Kuvaa kofia ndani ya nyumba wakati hakuna jua, kuvaa viatu ndani badala ya sandalusi, kuvaa shati litakalotafusliwa vibaya. Nikiongeza la nne, tv kuwekwa mahali ambapo ataumia kichwa kwa kupinda.
 
Back
Top Bottom