Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutokee hapa,mbona poa tu yeye kwanini amlazimishe mama kushangilia.Very disgusting! Hivi huyo cameraman kwa nini alimfuata hadi kule?
Utadhani hayuko ikulu. Mi nikasema hivi hapo ni ikilu kweli?Wangetuonesha na ka TV huenda ni HITACHI 14"
Sent from my Redmi S2 using Tapatalk
Amekaa staili flani kama anakoka moto wakauondoa kwa ajili ya videoUtadhani hayuko ikulu. Mi nikasema hivi hapo ni ikilu kweli?
Hahahah si mkewe ndio kamjibu hivyo sijaona tatizo lolote. Tena tone aliotumia ni ya utani, huenda si mpenzi wa mipira so akaona kama JPM anamchuuza tu!Hahaha..mimi mwenyewe amenishangaza sana,anamjibu vipi raisi vile tena kwenye camera.
Hahah mzigo ni samsung curved nchi 49 bana. AhahaWangetuonesha na ka TV huenda ni HITACHI 14"
Sent from my Redmi S2 using Tapatalk
Hivi ni Tv imewekwa upande au huoni vizuri? Kitu Samsung 49" curve.Hakuwa na ujasiri wa kwenda uwanjani? Na hiyo TV kwa nini imewekwa upande. Yaani muda wote unakunja shingo? Ni ikulu hapo kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kumdiss prezida katupia kinyama. Chini ana skandodos za mchina juu kala snapback kali za kileo tu. Hivyo alivyovaa angevaa chrisbrown mgeona ndio swaga na mngejazana kariakoo kununua hizo raba na cap kwa bei mbaya tu! Acheni unafiki!Ila rais wetu mshamba. Yaani msukuma haswaaaaa.
Hiyo snapback ya machungwa ndo iliyoniacha hoiAcha kumdiss prezida katupia kinyama. Chini ana skandodos za mchina juu kala snapback kali za kileo tu. Hivyo alivyovaa angevaa chrisbrown mgeona ndio swaga na mngejazana kariakoo kununua hizo raba na cap kwa bei mbaya tu! Acheni unafiki!
Mguu wa kuvalia shorts uko wapi?Jamaa ana usukuma mpk leo..huo m-cape wa nn humo ndani sasa jaman..ova anafanyia wazo hill cement...suruali ile sasa....wenzake wknd wanavaa shorts
Hahahah hio si imekaa kikulima ila hata ma role model wenu kama Chrisbrown na mwenzie Omarion wamevaa na mabishoo kibao mjini hapa walishazivaa!Hiyo snapback ya machungwa ndo iloyoniacha hoi