Hizi ‘Dressing Code’ za Rais Magufuli nimezielewa

Acha kumdiss prezida katupia kinyama. Chini ana skandodos za mchina juu kala snapback kali za kileo tu. Hivyo alivyovaa angevaa chrisbrown mgeona ndio swaga na mngejazana kariakoo kununua hizo raba na cap kwa bei mbaya tu! Acheni unafiki!
Mkuu bonge la trainers hata mimi ntaanza kuzivaa ni style unique haina kulemba.
 
Mie nimependa kuna Mtu kaambiwa Na Rais nyie mnaokula shangilieni akamwambia Na Wewe tutokeee hapo, duuh anamjibu jibu Rais wetu Bila ya adabu
Mmh haiwezekani, huenda walikuwa kwenye stori zao zingine hilo jibu hakupewa yeye
 
Mi naamini kila mtu na maisha yake, walopita walikuwa na style zao na pia aina za maisha yao, na mzee john naye pia ana style yake katika maisha yake huwezi kumbadili, tuwatizame na kuwaongelea katika yale yahusuyo majukumu walopewa na nchi na si katika maisha yao binafsi na familia zao.
Kwangu namini katika utendaji wao katika majukumu yao katika nchi si vyenginevyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom