Hizi data za average IQ za Africa mzipuuze

Yoda Sela Son lost files Mizam Fbn
Hivu ni kwamba mimi naishi Tanzania tofauti au, hivi nyinyi huko kwenu au mna hata ndugu zenu ambao wamewahi kupimwa IQ? Au ndo walikuja kuwapima Wahadzabe na Watindiga ndio wakaconclude IQ ya Tanzania?
Haina hata haja ya kutupima yanayofanyika huku Afrika yanatosha kutoa hitimisho la ufinyu na ukufi wa akili wa jamii hii
 
Ni mpuuzi pekee atapinga hiyo data.
Matokeo ya mambo mbalimbali yanathibitisha kuwa Mwafrika ana low IQ.
Tena hata hivyo hapo wametupendelea kidogo ili tusijinyonge.
Nigeria ina reserve kubwa ya mafuta lakini mavi mpaka Airport (yaani vyoo vya Airport bado vina uchafu (mavi).
Hivi tungekuwa na akili timamu tungesaidiwa na nchi kama Sweden?
 
Taja gunduzi za hao wachache Africa
Sio gunduzi tu, kwanini masikini na hatuwezi kusimamia rasilimali zetu?Kwanini Hadi Leo hatuna maji na vyanzo vipo
Kama v
Yoda Sela Son lost files Mizam Fbn
Hivu ni kwamba mimi naishi Tanzania tofauti au, hivi nyinyi huko kwenu au mna hata ndugu zenu ambao wamewahi kupimwa IQ? Au ndo walikuja kuwapima Wahadzabe na Watindiga ndio wakaconclude IQ ya Tanzania?
Sijui ambacho hujaelewa Nini, mtanzania mmoja Anaweza kuna na IQ kubwa kuliko mtu yeyote duniani,hiyo haifanyi watanzania wengi kua na Uwezo mkubwa wa kufikiria..

Wachache kua vizuri haifanyi wote kua vizurii and vice versa,low minded people wapo Kila mahala,ila Kwa ujumla wake tutapima Uwezo wa jamii Fulani Kwa vile wanavyoishi,Sanaa Yao, Utamaduni, Lugha, Elimu,Afya,Vifo,Music na Maendeleo,hivyo ndio vinatofautisha jamii ya wajinga na wenye Akili..

Kama umetembea maeneo ya masikini wa mwisho kabisa Tanzania,halafu ukatembea suburban areas za Tanzania kama Masaki,then tembea maeneo ya watu masikini Chicago,halafu tembelea Hollywood,.utapata picha...

Ufisadi,chuki,roho mbaya,ufinywaji wa haki,wizi,uchawi yote matokeo ya akili ndogo,..na kumbuka hii haiusiani na KUFAULU DARASANI...
 
DUNIA INATUMIA NGUVU SANA KUIFANYA AFRIKA IJIONE NYONGE
 
Yale yaleee kwamba sisi tulikuwa nyani mama zao wanashiiirwa
 


Hakuna la maana uliloandika. Unadhihirisha IQ yako ilipo. Yaani unalinganisha uwezo wa kusolve geometry na kujua harufu ya mimea! Kama uwezo wa kunusa na kutambua mimea ndiyo kipimo chako cha IQ, basi nguruwe, fisi, ng'ombe ana IQ kukuzidi wewe maana yeye anaingia porini bila ya kufundishwa na yeyote, lakini kwa kunusa anajua ale mmea gani ambao ni salama na asile kitu gani ambacho kitamdhuru.

Hao watu wenye high IQ kiasi cha kupandisha average IQ ya mwafrika wapo wapi. Hawa akina Mwashambwa na akina Tlaatlah? Au hao wanaoteka na kuua wanaowakosoa? Au hao wenye akili ya kubaka haki za watu ili kutetea matumbo yao?

Kwa kweli Afrika, hata bila ya vipimo maalum imejaa watu wenye IQ ndogo sana. Hulka ya IQ ndogo ni kuwa na tabia zinazokaribiana na wanyama, na wanyama hupenda zaidi kutumia nguvu kuliko akili, na wala hawana hekima, na mwongozo wao ni 'mwenye nguvu ndiye ale", jambo linapendwa na kufanywa sana na Waafrika, hata watawala wao ndivyo walivyo. Ndiyo maana unaona watawala wa hapa kwetu wanateka, wanaua, wanakamata watu hovyo, wanadhulumu haki za watu hovyo! Hiyo ni tabia ya wanyama, inayoashiria uwezo mdogo wa akili. Lakini watu wenye high IQ, huongozwa na ustaarabu ule wa kutambua kuwa huyu ni mwanadamu mwenzangu.
 
UKiona nchi ina machawa wengi ujue kuwa hiyo nchi ina watu wengi wenye lowa IQ. Hakuna mtu mwenye akili timamu kabisa iliyokamilika anaweza kiwa chawa wa mtu.

Katika nchi hizo za watu wenye high IQ uliishawahi kuwaona watu ambao mchana kutwa wanashindana kumsifia Rais au waziri mkuu, kila wakilala, na kila wakiamka 'mama, mama, mama'?.
 
Lakini umuhimu wa hizi data ni nini?
 
Kwahiyo Chad wako njema kuliko sisi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mnaijua Chad aisee?
 
Sawa nimekuelewa, huenda sijapata nafasi ya ku socialize sana na jamii, maana kwa kuangalia tu watu wananonizunguka huwa sioni kama wana IQ ndogo.
Ingawa ninaamini hao wanaofanya ufisadi, chuki, wizi, uchawi ni watu wenye IQ ndogo ila siku tukiruhusu kuongozwa na watu wenye IQ kubwa tutaendelea na hao watu Bongo wapo wengi tu, ila hawana mamlaka

Nimeelewa point yako πŸ‘
 
Pia nakubaliana na wewe kuwa Lucas Mwashambwa ni chawa ana low IQ na nina wasiwasi ni upinde pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…