K komagi Member Nov 1, 2010 62 2 Nov 2, 2010 #1 jamani hizi computer za kuhesabia matokeo mbona ndo inaelekea ndo tayari zimeshachakachuliwa? huyo IT kishoka alitoka wapi na katika tetesi zangu hao wanaozitumia kuhesabia hawana ujuzi nazo
jamani hizi computer za kuhesabia matokeo mbona ndo inaelekea ndo tayari zimeshachakachuliwa? huyo IT kishoka alitoka wapi na katika tetesi zangu hao wanaozitumia kuhesabia hawana ujuzi nazo
Ng'wanangwa JF-Expert Member Aug 28, 2010 10,827 4,172 Nov 2, 2010 #3 komagi said: jamani hizi computer za kuhesabia matokeo mbona ndo inaelekea ndo tayari zimeshachakachuliwa? huyo IT kishoka alitoka wapi na katika tetesi zangu hao wanaozitumia kuhesabia hawana ujuzi nazo Click to expand... mtu kapewa millioni 5 kunununua laptop. yeye anaenda kununua laptop ya laki 8. what do you expect?
komagi said: jamani hizi computer za kuhesabia matokeo mbona ndo inaelekea ndo tayari zimeshachakachuliwa? huyo IT kishoka alitoka wapi na katika tetesi zangu hao wanaozitumia kuhesabia hawana ujuzi nazo Click to expand... mtu kapewa millioni 5 kunununua laptop. yeye anaenda kununua laptop ya laki 8. what do you expect?
NATA JF-Expert Member May 10, 2007 4,492 1,311 Nov 2, 2010 #4 golder said: zilichakachuliwa na timu ya miraji Click to expand... miraji ndio nani na anawadhifa gani nec?
golder said: zilichakachuliwa na timu ya miraji Click to expand... miraji ndio nani na anawadhifa gani nec?
G Godfrey Mwaja Member Oct 15, 2010 24 0 Nov 2, 2010 #5 mimi sielewi system inasaidia kurahisisha kazi, inakuaje hapa zifanye kazi iwe ngumuu..?, kwa kweli mimi sielewi hapa tatizo nini
mimi sielewi system inasaidia kurahisisha kazi, inakuaje hapa zifanye kazi iwe ngumuu..?, kwa kweli mimi sielewi hapa tatizo nini
Jatropha JF-Expert Member Apr 9, 2009 1,151 199 Nov 2, 2010 #6 nata said: miraji ndio nani na anawadhifa gani nec? Click to expand... miraji kikwete