Elections 2010 hizi computer za kuhesabia matokeo mmmh!

komagi

Member
Nov 1, 2010
62
2
jamani hizi computer za kuhesabia matokeo mbona ndo inaelekea ndo tayari zimeshachakachuliwa? huyo IT kishoka alitoka wapi na katika tetesi zangu hao wanaozitumia kuhesabia hawana ujuzi nazo
 
jamani hizi computer za kuhesabia matokeo mbona ndo inaelekea ndo tayari zimeshachakachuliwa? huyo IT kishoka alitoka wapi na katika tetesi zangu hao wanaozitumia kuhesabia hawana ujuzi nazo

mtu kapewa millioni 5 kunununua laptop. yeye anaenda kununua laptop ya laki 8.

what do you expect?
 
mimi sielewi system inasaidia kurahisisha kazi, inakuaje hapa zifanye kazi iwe ngumuu..?, kwa kweli mimi sielewi hapa tatizo nini
 
Back
Top Bottom