jamani hizi computer za kuhesabia matokeo mbona ndo inaelekea ndo tayari zimeshachakachuliwa? huyo IT kishoka alitoka wapi na katika tetesi zangu hao wanaozitumia kuhesabia hawana ujuzi nazo
zilichakachuliwa na timu ya miraji
miraji kikwetemiraji ndio nani na anawadhifa gani nec?