Hahahaha aiseeee ulikuwa kichwani mwangu napenda mnooUgali na dagaa+matembele
yaan wewwUgali dagaa na tembele au bamia
Ndevu za mwanaume zilichongwa kwa ustadiMzuzu nini?
hii inaitwa consensus Ad idem
Asee nimesikia njaa ghaflaDagaa likaangwe kwa mafuta ya mawese, Liwe na nyanya chungu na mbilimbi