S StudentTeacher JF-Expert Member Joined Jan 30, 2019 Posts 7,072 Reaction score 8,512 Sep 22, 2026 #1 Naona tangu asubuhi zinarindima angani balaa
mcTobby JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 8,038 Reaction score 23,073 Sep 22, 2026 #2 Wapi huko?
Psalm_27 JF-Expert Member Joined Aug 27, 2026 Posts 1,648 Reaction score 3,290 Sep 22, 2026 #3 StudentTeacher said: Naona tangu asubuhi zinarindima angani balaa Click to expand... kuna harusi kama ya katoro?
StudentTeacher said: Naona tangu asubuhi zinarindima angani balaa Click to expand... kuna harusi kama ya katoro?
Nimkimbilie nani JF-Expert Member Joined Nov 23, 2016 Posts 6,395 Reaction score 6,850 Sep 22, 2026 #4 StudentTeacher said: Naona tangu asubuhi zinarindima angani balaa Click to expand... Wote hatupo ulaya
StudentTeacher said: Naona tangu asubuhi zinarindima angani balaa Click to expand... Wote hatupo ulaya
T14 Armata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2017 Posts 13,933 Reaction score 47,214 Sep 22, 2026 #5 Zimepita kama mara 15. Hasa ile Airbus H225
S StudentTeacher JF-Expert Member Joined Jan 30, 2019 Posts 7,072 Reaction score 8,512 Sep 23, 2026 Thread starter #6 T14 Armata said: Zimepita kama mara 15. Hasa ile Airbus H225 Click to expand... Si mchezo. Nimezoea kuona Ndege ndio huwa zinapita sana angani hasa asubuhi ila kwa jana choppa zimetia fora!
T14 Armata said: Zimepita kama mara 15. Hasa ile Airbus H225 Click to expand... Si mchezo. Nimezoea kuona Ndege ndio huwa zinapita sana angani hasa asubuhi ila kwa jana choppa zimetia fora!
S StudentTeacher JF-Expert Member Joined Jan 30, 2019 Posts 7,072 Reaction score 8,512 Sep 23, 2026 Thread starter #7 Psalm_27 said: kuna harusi kama ya katoro? Click to expand... Sidhani kama ni choppa za harusi zile