Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,865
Nimeona wachaga wanalalamika kupewa basikeli mbovu
Jana nikaenda kwa mjumbe rafiki yangu ananionyesha box la baiskeli
nkamwonyesha hii picha walizogaiwa moshi nkamshauri wauzie wanyasa kabla ujaliaa
now anakunywa pale Manville pub
Swali hizi basikelii za nani nani amenunua na kwa pesa ya nani
Na zifanyie nini anyway
Wajumbe mje mtupe hints kidogoo