Hizi Barabara za mwendo kasi anajengewa nani?

Kila Siku wanausalama barabarani wanatueleza kua ajali nyingi husabishwa na mwendo kasi barabarani,
na wanasisitiza mwendo kasi unaua na mpaka wakaleta speed governer.
Cha Ajabu mradi wa kujenga barabara za mwendo kasi ndo zimepamba moto,wanataka tufe au?

Hizi barabara mimi naona zimekosewa sana.
1. Stand au vituo vya mabasi vimejengwa katikati ya barabara, Hii itakuwa shida sana kwa wazee , wanafunzi na waremavu kuvuka barabara ili kupanda basi. So ajali zitaongezeka.
2. Barabara ya mwendo kasi ipo moja tu ya kwenda na moja ya kurudi, so kama gari moja likiharibika magari mengine yote hayataweza kuendelea na safari.
 
Kwa i'lm ya madrasa hapo ndipo ufahamu wako wa juu kabisa ulipofikia,hapo ungekuwa na maalim katani angefurahi sana.
Madrasa inawaharibu sana,iko siku utakuja kugundua ukweli huu.

Mbona wewe sunday school imekuharibu kwa kupigwa vidole hadi umekua chok o lakini sisi tumenyamaza. Au unawashwa unatafta mtu wa ku kukuna? Ukiona umezidiwa sana jiingizie gunzi. Pambaf na nusu.
 
Mbona wewe sunday school imekuharibu kwa kupigwa vidole hadi umekua chok o lakini sisi tumenyamaza. Au unawashwa unatafta mtu wa ku kukuna? Ukiona umezidiwa sana jiingizie gunzi. Pambaf na nusu.

Wala sishangai kwa muislaam kujibu hivi.
Ndio mafunzo yenu ya madrasa yanavyowaongoza,kwamba kila ukizidiwa kwa hoja basi tukana.
Ndio uislam huo.
 
Hizi barabara mimi naona zimekosewa sana.
1. Stand au vituo vya mabasi vimejengwa katikati ya barabara, Hii itakuwa shida sana kwa wazee , wanafunzi na waremavu kuvuka barabara ili kupanda basi. So ajali zitaongezeka.
2. Barabara ya mwendo kasi ipo moja tu ya kwenda na moja ya kurudi, so kama gari moja likiharibika magari mengine yote hayataweza kuendelea na safari.

Sio kweli gari likiharibika litazuia safari kwanza linaweza kuvutwa umbali kutoka kituo hadi kituo ni jirani
 
Mabasi mengi yaendayo mikoani hupata ajali yakiwa peke yake barabarani na hakuna mchangamano wa vyombo vingine vya usafiri, chanzo ni mwendo kasi

Abiria huwa tunachangia...dreva anaenda speed , sie kimya..ikitokea ajali ndo oooo alikuwa katika mwendo wa kasi. Aaaah! Ningefurahi siku moja abiria wakiungana kumshushia kipigo dereva na Konda kwa mwendo kasi barabarani...
 
Back
Top Bottom