Hizi Barabara za mwendo kasi anajengewa nani?

Hizi Barabara za mwendo kasi anajengewa nani?

Kwenye mabango ya strabag wameandika "we are building for u"

Sent from my iPhone
 
Mabasi mengi yaendayo mikoani hupata ajali yakiwa peke yake barabarani na hakuna mchangamano wa vyombo vingine vya usafiri, chanzo ni mwendo kasi
data MO11
Hivi hapa jamaa ametumia akili kweli?
Barabara ya mkoa gani ambako mabasi huwa yanakuwa peke yake njiani,kwamba leo yote yanaenda halafu kesho yote yanarudi....!?
 
Last edited by a moderator:
Ufafanuzi wa kula nguruwe mkuu?

Sent from my iPhone using JamiiForums

Ndio aliouomba Sheikh mwenzio?
Akitaka kufahamu na hilo pia atajuzwa tu,na imani yetu kuwa atafurahia kumfahamu nguruwe.
 
Inashangaza sana, hata mm sijapata picha itakuwa vip? Maaana huo mwendo kazi hapa katikati ya jiji Mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm sijuwi yutu macho tu.
 
data MO11
Hivi hapa jamaa ametumia akili kweli?
Barabara ya mkoa gani ambako mabasi huwa yanakuwa peke yake njiani,kwamba leo yote yanaenda halafu kesho yote yanarudi....!?

yale mabasi yanayogongana uso kwa uso je ?
huyu kachanganya na kwenda pemba ndio maana
 
Last edited by a moderator:
Motto yao inasema 'WE ARE BUILDING FOR YOU' sasa hapo changanya na za kwako
 
Kila Siku wanausalama barabarani wanatueleza kua ajali nyingi husabishwa na mwendo kasi barabarani,
na wanasisitiza mwendo kasi unaua na mpaka wakaleta speed governer.
Cha Ajabu mradi wa kujenga barabara za mwendo kasi ndo zimepamba moto,wanataka tufe au?

Mkuu swaumu kali?
 
data MO11
Hivi hapa jamaa ametumia akili kweli?
Barabara ya mkoa gani ambako mabasi huwa yanakuwa peke yake njiani,kwamba leo yote yanaenda halafu kesho yote yanarudi....!?
Mkuu, kubadili ratiba ya kula hupunguza uwezo wa kufikiri
 
Last edited by a moderator:
Cio kila kiendacho kasi ni hatari. Ndege inakimbia mpaka spidi 1200 lakini ni usafiri salama kuliko hata gari inayoenda speed 180! Usalama unatokana na kutokuwepo kwa vitu vinavyoweza kusababisha bombardment au collision kama vile angani. Bara bara hizi zikipunguza obstacles ina maana zitakuwa salama zaidi.
 
,, shida ninayoiona hapa ni tafsiri , EWURA walishindwa pata neno sawia kutafsiri 'freelane/freeway'.,, kwa kizungu maneno hayo yamaanisha njia huru kwamba hakuna vizuizi 1, 2 or 3 kms na una mantain speed, kama ni 60, 80 unaimantain kutokana na hali iliopo .

Haimaanishi mtu akimbie kasi.
 
Mabasi Yaendayo Haraka sio Kasi mkuu"Mradi wa mabasi yaendayo Haraka-RBT
 
dizaini kama unachuki na elimu ya madrasa

Sio elimucya madrasa,ni ilim ya madrasa,tena wala sina chuki nayo hata.
Ni kwa vile tu huwa wanafundishana "udjinga" ndio maana siielewi.
 
Umeshuka na basi gani Tujue umetokeawapina tunakusaidiaje. Taja tu jinalabasi
 
Back
Top Bottom