Hizi Barabara za mwendo kasi anajengewa nani?

Makamee

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
2,029
Reaction score
1,201
Kila Siku wanausalama barabarani wanatueleza kua ajali nyingi husabishwa na mwendo kasi barabarani,
na wanasisitiza mwendo kasi unaua na mpaka wakaleta speed governer.
Cha Ajabu mradi wa kujenga barabara za mwendo kasi ndo zimepamba moto,wanataka tufe au?
 
il'm ya madrasa hii madhara yake huwa inapunguza uwezo wa kufikiri mambo ya kawaida,hata yawe madogo kiasi gani.
 
Ndivyo ulifunzwa na wazee wako pamoja na kanisa, kujibu watu hivyo. Jibu lako wala sijalishangaa. Haya bana endelea...

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Usijifanye mjuaje kama unajua si utoe maelezo au nawewe ndo umeamua kutaka kujua kupitia kejeli?

il'm nyingine ya madrasa hii hapa.
Kufikiri kitu kidogo tu cha maana ni kazi kweli kweli,lakini kuwazia upuuzi ni A.
 
Ndivyo ulifunzwa na wazee wako pamoja na kanisa, kujibu watu hivyo. Jibu lako wala sijalishangaa. Haya bana endelea...

Sent from my iPhone using JamiiForums

il'm nyingine hii hapa ya Jumababu
Jibu lipi baya hapo juu?

Bora ungeungana na mdau mmoja hapo juu aliyeomba nitoe ufafanuzi.
 
Last edited by a moderator:
Kwenda kasi maana yake hayatakuwa na muingiliano na vyombo vingine vya usafiri...Kwa kuwepo yenyewe tu katika nji zao, hiyo ni kasi ya kutosha hapa jijini... Ofkoz, wapaswa kuendesha kwa tahadhari kubwa kwani kuna watembea kwa miguu na hao abiria watakao wabeba...
 
Mabasi mengi yaendayo mikoani hupata ajali yakiwa peke yake barabarani na hakuna mchangamano wa vyombo vingine vya usafiri, chanzo ni mwendo kasi
 
Samahani dada yangu sikujua kama ni mjamzito naomba unisamehe.

Kwa i'lm ya madrasa hapo ndipo ufahamu wako wa juu kabisa ulipofikia,hapo ungekuwa na maalim katani angefurahi sana.
Madrasa inawaharibu sana,iko siku utakuja kugundua ukweli huu.
 
Mabasi mengi yaendayo mikoani hupata ajali yakiwa peke yake barabarani na hakuna mchangamano wa vyombo vingine vya usafiri, chanzo ni mwendo kasi
Pengine ungeuliza mwendo kasi huo ni upi? au speed limit katika maeneo ya mjini then ukalinganisha na speed limit kwa barabara kubwa/barabara zitokazo nje ya mji...
 
Kila Siku wanausalama barabarani wanatueleza kua ajali nyingi husabishwa na mwendo kasi barabarani,
na wanasisitiza mwendo kasi unaua na mpaka wakaleta speed governer.
Cha Ajabu mradi wa kujenga barabara za mwendo kasi ndo zimepamba moto,wanataka tufe au?

Every where there are signs of a coming zombie topics
 
Mabasi mengi yaendayo mikoani hupata ajali yakiwa peke yake barabarani na hakuna mchangamano wa vyombo vingine vya usafiri, chanzo ni mwendo kasi
Makamee
Ni kweli unachofikiria....!?
 
Last edited by a moderator:
il'm nyingine hii hapa ya Jumababu
Jibu lipi baya hapo juu?

Bora ungeungana na mdau mmoja hapo juu aliyeomba nitoe ufafanuzi.

Ufafanuzi wa kula nguruwe mkuu?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mabasi mengi yaendayo mikoani hupata ajali yakiwa peke yake barabarani na hakuna mchangamano wa vyombo vingine vya usafiri, chanzo ni mwendo kasi

Mwendokasi si tatizo, tatizo unaenda kasi maeneo gani. Kama unalala na spidi 130Km/hr kwenye kona unategemea nini kama sio ajali, tena unakuta kona yenyewe ni aina ya S au U na mteremko mkali.
 
Kwa i'lm ya madrasa hapo ndipo ufahamu wako wa juu kabisa ulipofikia,hapo ungekuwa na maalim katani angefurahi sana.
Madrasa inawaharibu sana,iko siku utakuja kugundua ukweli huu.

kweli kabisa ili'm hupunguza uwezo wa kufikiria mi mwanangu nimempeleka saint asije akawa muuza sembe bure
 
dah.! Ivi nchi hii ? Kama hili ni bora hata ungemuuliza mtu PM, kuliko kujiaibisha hapa. Yani hata kufikiri huwezi, ndo maana Area 254 anawajibu kutokana na uwezo wenu. Anattaka uishirkishe medula oblangata.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom