GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,848
- 109,552
Yaani mkiifanya halafu GENTAMYCINE sipo au sijaalikwa itakuwa ni sawa na Timu ya Taifa ya Argentina kupangwa bila Lionel Messi au Yanga SC kupanga Kikosi chake bila ya Pacome Zouzou au Simba SC kupangwa bila ya Clatous Chama kitu ambacho hakiwezekani na kitawashangaza wengi.
ANGALIZO
Kabla hujakurupuka kuja Kuujibu / Kuuchangia huu Uzi kwa Hasira zako za Kipumbavu na Ushamba ( Ungandamba ) wako juu yangu Malaika Mpendwa wa Mungu GENTAMYCINE kwanza angalia huu Uzi uko katika Jukwaa gani vinginevyo Ukikurupuka na Kujaa katika 18 zangu kama kawaida yangu Mimi nakupa tu za Uso.
Tunapenda Furaha na Utani hapa JamiiForums hivyo kama Wewe una Usununu wako ( Makasiriko yako ) kutokana na Njaa au Demu Kukutema au Kudaiwa Vikoba na Kodi ya Nyumba au Umebeti Mhindi kakukomba zote au Umemegewa / Umekanyagiwa Mkeo au Mshahara wako bado haujasoma katika Muamala wa NMB tafadhali usiulete hapa bali endelea tu kupambana na Maisha.