Hivyo ni kweli akili ya mwanamme inavyowaza?

Hivyo ni kweli akili ya mwanamme inavyowaza?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
"Akili ya mwanaume ina waza

>45% sex
>25% michezo
>10% burudani (TV,movies)
>20% mawazo yasiyo na faida


530412_562003683811683_2003419324_n.jpg
 
"Akili ya mwanaume ina waza

>45% sex
>25% michezo
>10% burudani (TV,movies)
>20% mawazo yasiyo na faida


530412_562003683811683_2003419324_n.jpg
Sasa mbona hiyo picha ya huyu jamaa inafanana na Steven Gerald, yule wa Liverpool FC...? Au ndo yeye anawaza hivyo.....?
 
Duh huu utafiti sijui nani aliufanya jamani, 45% sex, 25% michezo, 10% burudani na 20% mambo yasiyofaa.

Kuna watu mambo ya michezo kwao hawana habari kabisa, na wengine ni balaa tupu.

Kama ni utafiti una ukweli kiasi fulani, maana group kubwa la watu waweza kuwa hivyo na hapo ku justify matokeo ya utafiti, lakini sio kweli kwa 100%.
 
Back
Top Bottom