hello wana jf mimi ni msichana mwenye umri wa miaka ishirini na tatu nina boyfriend aliyenizidi miaka minne sisi wote ni wanafunz ila wa course tofauti ukweli ni kwamba course yake inavitu ving sana na inamuweka busy kiasi kwamba ananisahau nkimpigia cm anapokea na pia anapokuta sms yang hasiti kunijibu japo yeye kupiga kwake si sana si furahishwi na aina hii ya mapenzi ya mimi kujitoa kuliko yeye nafikiria kuachana nae jee ntakuwa sahii kufanya hivyo japo tangu mwanzo wa mapenz yetu tabia yake ni hiyohiyo hajawahi badilika ndo tabia yake hivi kweli hapo kuna mapenz kweli?