Hivo kwanini whatsap wanablock watumiaji?

Hivo kwanini whatsap wanablock watumiaji?

Sio yao, yao wao ni official whatspp, cha ajabu ukihamua kuacha kutumia official whatspp ukahamua kutumia GB whatsapp,, whatspp official wanakupiga BAN from nowhere jaman
Yani mtu ameanzisha bidhaa ya Fanta alafu wahuni wanakuja kuiba idea wanaanzisha bidhaa ya Fanta Zero bila ridhaa ya mwenye leseni ya Fanta, ni lazima kiwanda cha hao wahuni kifungwe na bidhaa feki lazima ipigwe ban.
 
Umeandika kama mfano halisi au ufafanuzi tuu ili tuelewe zaid kuhusu ban ya whatsapp?
 
Ama kweli mtaangamia kwa kukosa maarifa.. Alafu ulivyo andika utadhani hiyo WhatsApp ni ya baba yako..
Mamlaka gani? Kweli hili ni swali la kuuliza mbele ya hadhara? Aibu gani hii.. Biashara za watu hizo... Ohh
Wanayo mamlaka hata ya kukufungia usitumie mali yao mina.
Labda utengeneze ya kwako..
Tuwe na tabia ya kusoma terms and conditions kabla ya kujiunga mitandao au kutumia vitu vya watu.
Mleta UZi mbona huyu jamaa mbona kama anakujua au amepata history yako ulikuwa mwizi

samahani lakini
 
Ama kweli mtaangamia kwa kukosa maarifa.. Alafu ulivyo andika utadhani hiyo WhatsApp ni ya baba yako..

Mamlaka gani? Kweli hili ni swali la kuuliza mbele ya hadhara? Aibu gani hii.. Biashara za watu hizo... Ohh

Wanayo mamlaka hata ya kukufungia usitumie mali yao mina.

Labda utengeneze ya kwako..

Tuwe na tabia ya kusoma terms and conditions kabla ya kujiunga mitandao au kutumia vitu vya watu.
Watu washakariri ku-accept all mwanzo mwisho!
 
Mmh, hujanielewa shoga, mbona km umepandwa na wazimu
Mie nakunong'oneza tu jambo,, Unapendelea kuvaa nguo gan, wakat wa dinner, nguo ambayo unaisi kabisa 100% utamfanya mwanaume asiyatoe macho yake kwako?
IMG_20190626_175844.jpg
 
App ya DENT inakupa vifurushi vya bei nafuu na pia inakupa salio la zaidi ya shilingi 5000tzs mara tu utakapo jiunga.

Na kizuri zaidi utaweza kutoa papo hapo kwenye mtandao wowote utakaopenda kama vocha tu na si Mobile Money.

Link

https://jamiiforums.com/Tovzs7sxQX

Tanbihi:Link hiyo niliyoitoa ni refferal link ukijisajili kupitia link hiyo wewe na mimi tutapokea 690 dent bila ya wewe kupungukiwa na chochote.
Jumla utakuwa na dent 1280 ambazo 690 ni bonus ya kualikwa na 590 kama welcome bonus ambazo zina thamani ya shilingi 5000tzs.
 
Back
Top Bottom