mkuu hivi hapa bongo mikoa ya kidini IPO kweli,,? hebu mf, mmoja wa mkoa mwingine mbali na huo hasa huku bara!Ile sio nchi ni mkoa
Unauliza majibu? Kwani ulikuwa hujui?!Umofya kwenu,
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, hivi huko Zanzibar wanaongozwa kidini au la? Maana naona mambo mengi ya kijamii, dini moja inaonekana kupewa kipaumbele.
Mfano vyombo vya habari ZBC zimeadopt taratibu za dini fulani kwa kuonesha ibada zao mara kwa mara.
Imenibidi niulize kwani Serikali huko visiwani ina dini?
Nawasilisha
Umofya kwenu,

Mkoa wa Baba yako au wa Mama yako??Ile sio nchi ni mkoa
Kwao ndo yenye nguvu zaidi ndo maana inapewa sana kipaumbeleMbona dini moja inapewa kipaumbele sasa?
Dini ya Wazanzibar inajulikana MNIOBAKI NI WAGENI ONDOKONIMbona dini moja inapewa kipaumbele sasa?
TUNAJUWANA IKO SIKU UKWELI UTADHIHIR HIVI VI THREAD VYEMU HUMU MNAZIDI KUWAAMSHA WALIOLALA MIONGONI MWETUMi mwenyewe mzanzibar