Mara kwa mara nimekuwa nikisema kwamba taasisi inayoongoza kwa kuwa na vilaza wengi sana nchini, ni JWTZ ikifuatiwa kwa karibu na polisi.
Kipindi cha mauaji ya Watanzania hapo mwaka jana, katika jitihada za kupoteza watu malengo, polisi wa Tanzania walikuja na kituko cha mwaka.
Baada ya Samia...
Mnakumbuka hii script ya tukio ambalo mpaka leo unaweza kuuliza kesi yake ukaunganishwa wewe wakati muhusika mwenyewe ndio huyu.
Upande Kulia kwenye picha kuna miwani hapo kaweka mezani. angalia hiyo miwani na picha ya chini.
Baada ya kuona sinema ya delta force inaanza kuwaendea pabaya.Jamaa...
Polisi hii ya kupiga risasi vijana ndiyo yenye uwezo wa kumshika Mwanajeshi wa Marekani tuache ujinga na uongo. Mwanajeshi wa Marekani akishikwa ni swala la kitaifa mpaka sasa jeshi la Marekani halijasema kitu.
Pili kama alikuwa mwanajeshi zamani sasa atakuwa mwanajeshi mstaafu. Kuna kitu...
Kwa wazoefu wa maeneo ya sirari kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania, ni kichekesho cha hali ya juu kuuziwa propaganda eti Mwanajeshi wa Marekani amekamatwa akivuka mpaka rasmi wa Tanzania na Kenya akiwa na mabomu.
Yaaani Mwanajeshi wa Marekani aache kutumia porous border ambayo unaweza kuvusha...
Wakuu
Jeshi la Polisi Tarime Rorya limesema limemkamata Charles Onkuri Ongeta, mwenye umri wa miaka 30 na uraia wa Marekani na Kenya, akidaiwa kuingia Tanzania kupitia mpakani Sirari akiwa na mabomu manne aina ya CS M68.
Kwa mujibu wa taarifa ya polisi, mtu huyo anadaiwa kuwa mwanajeshi wa...
Hili sio suala dogo hata kidogo.
Nauza kangala na pombe kali za bei rahisi kama Kigogo na Ambiance lakini nimeogopa.
Mwanajeshi raia wa Kenya na Usa anakuja na maguruneti nchini kwetu ili iweje? Kwa nini Kenya na Usa wasimdhibiti kwa ukaguzi na kwa nini aje Tanzania?
Wao hawana taarifa juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.