Hivi Yule mpenzi wako

Hivi Yule mpenzi wako

kuna mmoja nilipewaga namba yake, nikawa naongea naye weeeeee, kila nikitoka prepo mi kwenye simu.

afu sikujaga kumwona
 
Sisi ambao hatukuwahi kutumia Buzz ni bomba tunacomment wapi?
 
Yupo tuliachana baada kwa tuhuma kuwa mm ni Malaya,imepita miaka mitatu bila mawasiliano wala kuonana ,,nashangaa kuona sms yake,ikisema ,,,,Yaani wewe,
Nimeshindwa kukusamehe na pia nimeshindwa kuingia katika mahusiano mapya kwa kuwa simuamini tena mwanaume, pia naogopa hata kwenda kupima maana sijui kama uliniacha salaama,,
Kiukweli hata sikuelewa alilenga nini zaidi ya kutomjibu
 
Huyo ni mpuuzi kama wapuuzi wengine. Anastahili kupuuzwa.
 
Sikuwahi kuwa na ujinga huo wa kuongea mpaka sikio linapata moto,, Ila SMS zilikuwa zikitilika kweli kweli , nashukulu nili muoa 2007 na mpaka sasa na injoy maisha akiwa amenipatia watoto 2 k & m
 
Back
Top Bottom