Hivi Yule mpenzi wako

Hivi Yule mpenzi wako

yuko vidudu mwakani anaingia pre-unit sijui
 
Kuna jamaa aliniovertake akampiga mimba wakati mimi naongea naye kwa simu, daah niliumia sana, wana mtoto wa miaka saba sasa hivi japo sijui kama wako pamoja au vipi.
 
Mm alipata kazi kabla yangu akapeperuka badaye akataka kurudi nikapotezea saivi tunapasha viporo tu
 
Duh mkuu unatisha unapasha kiporo Ila siku ukitia mimba usikatae
Mm alipata kazi kabla yangu akapeperuka badaye akataka kurudi nikapotezea saivi tunapasha viporo tu
 
Back
Top Bottom