Hivi wewe ungefanyaje?

Hivi wewe ungefanyaje?

Wa Nyumbani

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
438
Reaction score
67
Fikiria wewe ni mwanaume, uko ofisini kwenu, unaingia chooni na kukuta haja kubwa imedondoshwa pembeni ya choo inafuka moshi, unashindwa kujisaidia unaamua kutoka. Unapofungua tu mlango unakutana na msichana mrembo ( au mwanaume kama wewe ni mwanamke) anataka kuingia chooni, utafanyaje ili asijue kuwa wewe ndiye uliyefanya kazi hiyo? Kumbuka namna anavyoweza kuamini maelezo yako, au utakauka tu na kwenda zako?
 
Nitajipapasa mfukoni kama nimedondosha kitu,then nitarudi chooni nikizuga nakitafuta.
 
Nitamueleza choo ni kichafu kuna mtu amejisaidia pembeni..kwan hata mm nimeshindwa kukitumia.
 
Atakuamini? kumbuka naye amebanwa sana haja na lazima aingie. Unajua atakavyokuwa anawaza kila anapokuona?
 
Bwana usitutishe bwana, tukaanza kusafisha mzigo wa mtu mwingine. Anichukulie anavyotaka ila mie ntamwambia live kuwa ikulu pachafu, asipoamini kimpango chake
 
ntamwambia choo kichafu usiingie, kuna ***** hajui kutumia vyoo
 
unaachana naye akakutane na kimba kwn nn bwana?ukweli upo moyoni mwako bwana,usipende kujionesha msafi,kama msafi msafi tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom