Hivi wenzangu mnaishi vipi hapa mjini?

Hivi wenzangu mnaishi vipi hapa mjini?

Mimi ilikua nikiwa free naenda kilinge cha kahawa kuzuga jioni,niliona na kuzoeana na wachache,,mzee mmoja nilikua namuona mzugaji tu,,mzee kumbe ana ghorofa ,nilijua baada ya kumuona ana push murano ,,,so kaka usiwaze maisha ya usiemjua
Wazee wengine wana mizigo sema wameshazoea ujamaa tu! Unakuta ndio anawapigisha kahawa kijiwe kizima
 
Kuna mengi wanaweza kuwa:

1.Madalali - hutoka na kurudi hapo ndio sehemu yao ya kazi

2.Wauza Ghahawa - huwa wanaweka na draft na kachori hapo

3.Wenye nyumba - wanakula kodi yako kila mwezi

4.Wastaafu - wanakula mafao yao ya uzeeni na wazee wenzao na kuchangamsha bongo kwa draft.
Inawezakana,shukrani sana Mkuu...nazidi kupata mwanga,nisiwaze mengine.
 
Back
Top Bottom