Hivi wenzangu mnaishi vipi hapa mjini?

Ncha Kali

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
10,270
2,000
Takwimu oriented....njombe ni Mara chache watu kukuta wakizungumzia zinaa ....Ila Kuna wafanya biashara wengi wa mbao ,mazao na kadhalika...na raia wengi wasio wakaz wanachkulia dawa hko....ukimwi upo Ila sizan Kama ni inavoonekana kwenye takwimu...njombe haijacchafuka kimaadili Wala mtu mmoja mmoja .....watu wake ni berry innocent

Hao innocents ndio hawajui kunyima pachuchi, kina niangusage tu dhambi zako munyewe!
 
Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,438
2,000
Wapo pia walio busy kuanzia asubuhi hadi jioni wanauza chenchi stendi ,wengine anatembea na karanga za sh mia mia ,au fegi ,Sasa unajiuliza huyo mtu analipaje kodi ya kwa kuuza chenchi hata Kama yupo kwake faida inatosha kwa chakula na mahitaji mengine ?
Mwenzako anatafuta faida sh 2000 kwa siku wakati we ukikaa sehemu unapita unapooza koo na bia za 10,000
 
Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,438
2,000
Majuzi nilienda kununua samaki ferry ,ukinunua wakukutolea utumbo sh 1500,yeye mwenyewe hana meza ya kumsafisha ananunua meza ya kumsafisha sh 200 ,kisu ya kumtoa utumbo anachukua hapo nayo analipia 200
 
RtSleooz001z5ckjdNDt

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
4,862
2,000
Shughuli wanazo ila waliowengi unakuta ni kula kulala leo anakula kwa mama, kesho kwa shangazi, mara kwa Dada, mara kwa kaka, wengine kazi zao hazipo kila siku ni za msimu tuu akikamata hela anampa mke wake anaanza kuzungusha, wengi wa hivyo wanashindwa kufanya mambo makubwa lkn kula tu hawashindwi.
...kwamba kula tuu hawashindwi..

Ila kiukweli kuna wataalamu sana hii dunia..kuna watu huwa hawafi njaa jamani.
 
RtSleooz001z5ckjdNDt

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
4,862
2,000
Wapo pia walio busy kuanzia asubuhi hadi jioni wanauza chenchi stendi ,wengine anatembea na karanga za sh mia mia ,au fegi ,Sasa unajiuliza huyo mtu analipaje kodi ya kwa kuuza chenchi hata Kama yupo kwake faida inatosha kwa chakula na mahitaji mengine ?
Mwenzako anatafuta faida sh 2000 kwa siku wakati we ukikaa sehemu unapita unapooza koo na bia za 10,000
Isee kiufupi haya maisha kuna watu wanacheza kwa akili sana..

Ila nilishawahi kuwaza na kuwazua nikaona may be wale wanaouza karanga na vitu vingine stand...labda wanalala mule mule.

Iweje faida inakuwa ndogo..alafu unajiuliza anahitajika kodi/msosi/sijui maji ya kunywa mara maji..asee noma sana

Au unasemaje mkuu
 
Mzimu wa Kolelo

JF-Expert Member
Apr 16, 2013
1,601
2,000
Tatizo vijana katika umri wenu huu wa balobalo mkiambiwa zaeni kwa wingi jengeni nyumba wekezeni katika ARDHI mashsmba kununua mshamba mnakimbilia kununua vigari na niashata za mtandaoni
Hawa wazee tena sasa hivi wamepungua wanafariki wananyumba za kupangisha katikati ya jiji hili utakuta mtu ana nyumba mbili tatu au hata 1 ya vyumba sita ana uhakika kwa mwezi laki 3 plus labda ana watoto 7 wakike wanne
Sasa hapo mizinga kwa wakwe zake bado watoto wake alowalea vema bila kukimbia majukumu hawajamtumia visenti
sasa tabu ya nini na uzee huo anatulia mchana kutwa kutia story
jioni anarudi kwa wakeze tena hutakuta hapo kaongexa dogogo mke wa tatu anafurahia tu uwekezaji wa ujanani
 
Hoja safi sana hii.

Hamna focus nzuri maishani kama uwekezaji isee...niliwahi kukiri katika ujana wangu nijifunze sana kuwekeza tena kwa kasi.ili nikifika around 50+ huko nichume matunda mdogo mdogo ....
tatizo linakuja mbona pale niliwaona hadi vijana???? Hao wamewekeza?
 
Author

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
1,595
2,000
Kuna mengi wanaweza kuwa:

1.Madalali - hutoka na kurudi hapo ndio sehemu yao ya kazi

2.Wauza Ghahawa - huwa wanaweka na draft na kachori hapo

3.Wenye nyumba - wanakula kodi yako kila mwezi

4.Wastaafu - wanakula mafao yao ya uzeeni na wazee wenzao na kuchangamsha bongo kwa draft.
 
mtzedi

JF-Expert Member
Dec 13, 2011
4,053
2,000
Tatizo vijana katika umri wenu huu wa balobalo mkiambiwa zaeni kwa wingi jengeni nyumba wekezeni katika ARDHI mashsmba kununua mshamba mnakimbilia kununua vigari na niashata za mtandaoni
Hawa wazee tena sasa hivi wamepungua wanafariki wananyumba za kupangisha katikati ya jiji hili utakuta mtu ana nyumba mbili tatu au hata 1 ya vyumba sita ana uhakika kwa mwezi laki 3 plus labda ana watoto 7 wakike wanne
Sasa hapo mizinga kwa wakwe zake bado watoto wake alowalea vema bila kukimbia majukumu hawajamtumia visenti
sasa tabu ya nini na uzee huo anatulia mchana kutwa kutia story
jioni anarudi kwa wakeze tena hutakuta hapo kaongexa dogogo mke wa tatu anafurahia tu uwekezaji wa ujanani
Wewe una nyumba ngapi mjini ? Una wake wangapi? Usikute hata mmoja huna!
 
900 Inapendeza zaidi

JF-Expert Member
Nov 19, 2017
3,994
2,000
Wakuu habarini.

Mambo yanaendaje..

Wakuu awali ya yote natambua/mnatambua kuwa maisha ya mjini haswa ukiwa umepanga + ukiwa na watoto ni changamoto nzito.Hivyo inahitaji uchapakazi/utafutaji maisha yaende.

Wakuu jana asubuhi nikiwa naelekea kwenye harakati za utafutaji nikiangaza angaza macho huku na kule kuna wazee fulani + vijana wamekaa kwenye kijiwe, nahisi walikuwa wakipata kahawa kama sio chai huku wakiendelea kuchambua hotuba ya juzi ya Mh Raisi.

Kilichonifanya mpaka nikaleta hii thread hapa niliporudi mida ya mchana... kwa sabbu nilipata emergence kidogo kuna kitu nilisahau....sasa ile kuangaza macho formation ni ile ile niliyoiacha asubuhi(wazee flani na kofia zao) huku wakicheza draft.

Ilinipa tafakari kidogo nikajiuliza hivi hawa jamaa hadi jioni watakuwepo?...Cha ajabu Ile niliporudi mida ya kumi na mbili hivi na alama formation ni ile ile, Ila nahisi kuna baadhi ambao ni wachache nahisi walipungua( japo formation ni ile ile) niliowakumbuka kuna wazee wanne hivi waliokuwa wamevalia kofia, rasi, big na wengine kama sita hivi.

Hao wazee wanne niliwamark toka asubuhi kwa sababu ya kofia zao, ila hao wengine niliwamark mchana japo nahsi tangu asubuhi walikuwepo.

Ok, sasa wakuu lengo langu sio kutangaza life style ya mtu humu/kufuatilia na pia sitarajii kwa sabbu sipendi majungu + umbeya ila kwa sababu humu ni jamii pana na hatutambuani nina imani may be kuna jinsi wenzetu wanarelax na maisha ilihali wengine tunasota.

Sasa Jee wanayaendesha vipi maisha ya hapa mjini? au wamewekeza? Na hata kama wamewekeza nahisi sio kwa idadi ile niliyo iona.
ulize kwani wao wanasemaje
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom