- Thread starter
- #41
HahahhahMakapuku tu..Sasa wataenda wapi hakuna kazi
..hata site Mkuu,saidia fundi.
HahahhahMakapuku tu..Sasa wataenda wapi hakuna kazi
Mambo yalianzia 1975 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23]...
kumbe ilianzia humu.
Daah basi sawa Mkuu....nimekupata vzr sana.Mimi ilikua nikiwa free naenda kilinge cha kahawa kuzuga jioni,niliona na kuzoeana na wachache,,mzee mmoja nilikua namuona mzugaji tu,,mzee kumbe ana ghorofa ,nilijua baada ya kumuona ana push murano ,,,so kaka usiwaze maisha ya usiemjua
Ndio ndio Chief nimeelewa.Kwa ufupi hao ndo wenye mji wao wewe ni wakuja ndo maana unashanga mwenye mji hajiulizi atakula wala kulala wapi anachojua yupo kwake yote lazima yawepo
[emoji23][emoji23]...Mambo yalianzia 1975 [emoji23][emoji23][emoji23]
Kule mbali na baridi,nahisi wananzengo wa mule ni kazi kazi....Njombe huwez kuta watu vijiweni....Wala hakuna vijiwe
Kule mbali na baridi,nahisi wananzengo wa mule ni kazi kazi....
Hii issue ipo humu jiji la Mzizima.
Bongo Dar es salaa ofisi ya mtu ni pale aliposimama" Professor J wa Mitulinga"Wakuu habarini.
Mambo yanaendaje..
Wakuu awali ya yote natambua/mnatambua kuwa maisha ya mjini haswa ukiwa umepanga + ukiwa na watoto ni changamoto nzito.Hivyo inahitaji uchapakazi/utafutaji maisha yaende.
Wakuu jana asubuhi nikiwa naelekea kwenye harakati za utafutaji nikiangaza angaza macho huku na kule kuna wazee flani + vijana wamekaa kwenye kijiwe...nahisi walikuwa wakipata kahawa kama sio chai huku wakiendelea kuchambua hotuba ya juzi ya Mh Raisi.
Kilichonifanya mpaka nikaleta hii thread hapa niliporudi mida ya mchana... kwa sabbu nilipata emergence kidogo kuna kitu nilisahau....sasa ile kuangaza macho formation ni ile ile niliyoiacha asubuhi(wazee flani na kofia zao) huku wakicheza draft.
Ilinipa tafakari kidogo nikajiuliza hivi hawa jamaa hadi jioni watakuwepo?...Cha ajabu Ile niliporudi mida ya kumi na mbili hivi na alama formation ni ile ile,Ila nahisi kuna baadhi ambao ni wachache nahisi walipungua( japo formation ni ile ile) niliowakumbuka kuna wazee wanne hivi waliokuwa wamevalia kofia,rasi,big na wengine kama sita hiv.
Hao wazee wanne niliwamark toka asubuhi kwa sabbu ya kofia zao,ila hao wengine niliwamark mchana japo nahsi tangu asubuhi walikuwepo.
Ok.sasa wakuu lengo langu sio kutangaza life style ya mtu humu/kufuatilia na pia sitarajii kwa sabbu sipendi majungu + umbeya ila kwa sabbu humu ni jamii pana na hatutambuani nina imani may be kuna jinsi wenzetu wanarelax na maisha ilihali wengine tunasota[emoji23][emoji23].
Sasa Jee wanayaendesha vipi maisha ya hapa mjini? au wamewekeza? Na hata kama wamewekeza nahisi sio kwa idadi ile niliyo iona.
Ila kuna ukimwi wa kutoshaNjombe huwez kuta watu vijiweni....Wala hakuna vijiwe
Takwimu oriented....njombe ni Mara chache watu kukuta wakizungumzia zinaa ....Ila Kuna wafanya biashara wengi wa mbao ,mazao na kadhalika...na raia wengi wasio wakaz wanachkulia dawa hko....ukimwi upo Ila sizan Kama ni inavoonekana kwenye takwimu...njombe haijacchafuka kimaadili Wala mtu mmoja mmoja .....watu wake ni berry innocentIla kuna ukimwi wa kutosha
HehhehehNa ndo maana Kuna Mambo ya ajabu
[emoji2]...kumbe wanazungushia pesa pale pale[emoji120]Hiyo draft unayo iona hapo manaake wanacheza kamari
HahahhahaBongo Dar es salaa ofisi ya mtu ni pale aliposimama" Professor J wa Mitulinga"
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Isee ni kweli Mkuu,ila hao walimu wana unafuu kidogo.....Hata mimi huwa nashangaa watu wanaopata mshahara wa chini ya laki 6 kwa mwezi mfano mwalimu shule ya msingi najiuliza anayamudu vp maisha ya Dar, na unakuta anapanga, daladala 4 kwa siku, tuition sikuizi hakuna.
Ook sawa kabisa Chief.nyumba za kupangisha
kukodisha ngalawa au boat
kukodisha meza sokoni au vibanda sokoni
wengine ni madereva hapo na madalali
Shughuli wanazo ila waliowengi unakuta ni kula kulala leo anakula kwa mama, kesho kwa shangazi, mara kwa Dada, mara kwa kaka, wengine kazi zao hazipo kila siku ni za msimu tuu akikamata hela anampa mke wake anaanza kuzungusha, wengi wa hivyo wanashindwa kufanya mambo makubwa lkn kula tu hawashindwi.Isee ni kweli Mkuu,ila hao walimu wana unafuu kidogo.....
tatizo linaanzia kwa huyu ambae hana shughuli yoyote, na katulia tuu kwenye kilinge ni noma.