Hivi wenzangu mnaishi vipi hapa mjini?

kwamba wengine ni walinzi mchana stori nyingi usiku wanapotea basi nimeanza kukuelewa Mkuu,kumbe kila mtu ana mishe zake.

Kumbe kila mtu ana muda wake wa kuteseka
Mimi nina anko wangu mhuni kweli, enzi hizo kuna Motor vehicle licence imechachamaa.

Basi alikuwa na hiace lake lina madeni, analiendesha usiku tu🤣
Analiamsha saa 10 mpaka saa12 asubuhi, mchana stori anasubiria tena saa 1 usiku
 
Mimi nina anko wangu mhuni kwepi, enzi hizo kuna Motor vehicle licence imechachamaa.

Basi alikuwa na hiace lake lina madeni, analiendesha usiku tu
Analiamsha saa 10 mpaka saa12 asubuhi, mchana stori anasubiria tena saa 1 usiku

mkuu uwasilishaji wako unafurahisha sana ila umenena.

Nahisi hata kwa mwanzo huu wa majibu nilioupata kutoka kwenu tayari nimeanza kuelewa + kuzidi kuelewa.

Unashangaa watu wamekaa kwenye kijiwe since morning mpk jioni hawana mishe alafu wanarudi home kwao na mahitaji ya kifamilia...

Unashtuka ni walozi nini???
 
kiukweli hawajawahi.. na sitarajii

Ila Mkuu huo mkwanja wanautoa wapi? Isije ikawa nguvu za giza zinahusika.

Mtu anatoka asubuhi kwenda kijiweni jioni anarudi na mahitaji yote ya familia + mkate juu.
Usiyasumbukie maisha Sana ndugu... Kuwa na moyo wa Shukrani na kuridhika.. Kuwa mwenye furaha, mpole na mvumilivu.. Milango yote itafunguka.

Ukiweka tamaa ndio shida inapo anzia hapo sasa... Ndio giza hilo unalozungumzia mkuu. Jichanganye upate maarifa.
 
Hao wapo wengi sana hasa Dar es salaam, na hata Mimi nishawahi jiuliza sana nikaachana nao tu pasipokupata jibu
 
Cha kufurahisha wazee wa mjini maisha yao mwake sana utakuta ni mzee ila anaishi kwao nyumba ya urithi....

2750365_IMG-20210421-WA0009_1.jpg
 
kwamba wengine ni walinzi mchana stori nyingi usiku wanapotea basi nimeanza kukuelewa Mkuu,kumbe kila mtu ana mishe zake.

Kumbe kila mtu ana muda wake wa kuteseka
Wote hatuwezi teseka saresare. Wewe teseka kivyako, yule ateseke kivyake, wao wateseke kivyao. Usitafute kufanana.

Kuna kamsemo ka wananzengo "kila mtu ashinde mechi zake".
 
Usiyasumbukie maisha Sana ndugu... Kuwa na moyo wa Shukrani na kuridhika.. Kuwa mwenye furaha, mpole na mvumilivu.. Milango yote itafunguka.

Ukiweka tamaa ndio shida inapo anzia hapo sasa... Ndio giza hilo unalozungumzia mkuu. Jichanganye upate maarifa.
Shukrani Mkuu..

Elimu nzuri sana hii
 
Wote hatuwezi teseka saresare. Wewe teseka kivyako, yule ateseke kivyake, wao wateseke kivyao. Usitafute kufanana.

Kuna kamsemo ka wananzengo "kila mtu ashinde mechi zake".
Basi sawa Mkuu
 
Back
Top Bottom