Hivi we si ulijiajiri? Vipi Leo umeajiriwa na mtu?

Julius Husseni

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
1,364
1,078
Hahah mtiti wa kutumwa wakati ulizoea kujituma mwenyewe sio mwepesi. Ogopa sana hii situation. Najua humu tupo wengi sana tufanye tu turudi tena kule kule uzuri awamu hii tuna full experience hatutarudia tena mistake. Fala tu ndie anaweza gongwa na nyoka tundu lile lile.
 
Ni uvivu tu wa kutumia akili zako kusimamia maono yako unaona utakufa njaa bora ukimbilie kuajiriwa kule unaona hutumii akili nyingi kwani unatumikia kusudi la mtu mwingine aliyetumia akili zake vizuri kubuni miradi yake.
 
Wote tuajiriwe au wote tujiajiri. Haipo hivyo, lazima wengine wawe waajiriwa na wengine waajiri/wajiajiri.

Usidhani kila mtu anaweza kujisimamia, its tough na wengi wameunguza mitaji kwa sababu maarifa ya kujiariri hawana.
 
Uzi wangu unawahusu wale waliokwama katika harakati zao za awali.

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Ni uvivu tu wa kutumia akili zako kusimamia maono yako unaona utakufa njaa bora ukimbilie kuajiriwa kule unaona hutumii akili nyingi kwani unatumikia kusudi la mtu mwingine aliyetumia akili zake vizuri kubuni miradi yake.
Sio uvivu mkuu tambua maisha ni safari ndefu ipo misukosuko mauguzano, shida nk.

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom