Hivi wazungu wanajua au kushiriki Uchawi?

Hivi wazungu wanajua au kushiriki Uchawi?

Nimejiuliza sana hii kitu, naona kama wenzetu hawajui kabisa mambo ya Ulozi kwa sababu nayaona tu katika bara la Afrika na Asia. Wakuu naomba kufahamishwa ukweli bila kuhusisha Movie zao ambazo zimejaa uongo uongo tu.
Bible haijaandika kuhusu uchawi ikimaanisha muAfrika na muAsia. Jamii yeyote ya wanadamu ina uchawi. Huwezi kuujua kwa kusoma au kuangalia movie, unatakiwa uishi ndani ya local communities ndo utaujua uchawi wao.
 
Ndo maana walitutawala pamoja na uchawi wetu hatukufua dafu kwao walituswaga kama Mbuzi hadi kwenye majahazi,kwani ni tulishindwa kuwaroga wasituchukue utumwami.
Uchawi wa kiafrika uligonga mwamba.
 
Wao uko juu zaid yetu,hadi wanavyama vyao mfano iluminat,Freemasons, nk.
 
Kwani kinachowachanganya watu kuhusu uchawi ni nini?
Mnaambiwa kabisa zipo nguvu mbili hapa duniani za MUNGU au za shetani...
Uchawi upo kwenye nguvu za shetani sasa wewe kama huamini haya mambo yapo siku utakapokutana nayo ndio utakua sawa.
 
Back
Top Bottom