Tatu za mwanzo naona zina ujumbe mkubwa kuliko ya nneKaangalie Series hizi,
Secret circle,
Witch hunter,
Salem,
The Originals,
Pia ask bwana google utapata jibu kamili tena uchawi wetu huu ni cha mtoto ndio maana hauna maendeleo yoyote wao ndio vigagula ila technology inawabeba.
mkuu hizi ni movie...yaani waandishi wameandika story halafu inatengenezwa...ni fake obly for entertainment. usijifunze mambo kupitia movieKaangalie Series hizi,
Secret circle,
Witch hunter,
Salem,
The Originals,
Pia ask bwana google utapata jibu kamili tena uchawi wetu huu ni cha mtoto ndio maana hauna maendeleo yoyote wao ndio vigagula ila technology inawabeba.
Inawezekana Cristiano Ronaldo akawa mshirikina kweli?Hakuna sehemu inayokosa uchawi
Wachina babalao
Wahindi hawana mfano
Hata wazungu wanao ila wamejificha katika kivuli cha teknolojia
unataka kusema uchawi haupo au uchawi haupo kabisa kwao?? by the way walituletea dini na kwenye vitabu vya hizo dini imeelezwa kua uchawi upo, kazi kwako.mkuu hizi ni movie...yaani waandishi wameandika story halafu inatengenezwa...ni fake obly for entertainment. usijifunze mambo kupitia movie
Zombies, Vampires, Draculas, Werewolves,Me najiulizaga kuhudu mazombie tu
Yap ukiongezea na Harry Porter.Tatu za mwanzo naona zina ujumbe mkubwa kuliko ya nne
Teknolojia ni somo la Sanaa, sanaa ni ubunifu, kwahyo ni wazi kabisa teknolojia ina uchawi mwingi sana.Kaangalie Series hizi,
Secret circle,
Witch hunter,
Salem,
The Originals,
Pia ask bwana google utapata jibu kamili tena uchawi wetu huu ni cha mtoto ndio maana hauna maendeleo yoyote wao ndio vigagula ila technology inawabeba.
Mpaka Leo hii ndio nchi inayoitawala dunia, yaan jamaa wamejificha kwa kuyatumia mataifa makubwa kama marekani uingereza huku ngome yao ikiwa Vatican kule Roma, Achana na hii nchi inatisha sana mambo yake.Tafuta nchi inaitwa ROMANIA hii nchi ni balaa hata Tanga,Sumbawanga au Gamboshi hawaingii ndani
Ndo maana walitutawala pamoja na uchawi wetu hatukufua dafu kwao walituswaga kama Mbuzi hadi kwenye majahazi,kwani ni tulishindwa kuwaroga wasituchukue utumwami.Tena hao wazungu ndo wachawi haswa. Afrika haifiki hata nusu!