Hivi wazee wa Dar es Salaam, ndio akina Nani?

Hivi wazee wa Dar es Salaam ndio wazee wa aina ipi? Na kigezo cha kuwa mzee wa Dar ni kipi? Na kwanini wawe wazee wa Dar es Salaam na isiwe Mtwara, Dodoma, Singida na sehemu zingine?

Na mara nyingi nawaona tu wazee wamevaa barakashia, msuli na kobazi tu waki enjoy ubwabwa wa bure na wengine wakinywa alkhasus, kahawa na kashata tu na wengi wao ni kutokea kariakoo na magomeni na sio sehemu zingine kama Mbagala, kimara au Buza?
Kiongozi wao Mkuu ni Mzee Butiku mtafute pale MNF au nenda Kwake Mabwepande anakoishi sasa na atakufafanulia.
 
Hivi wazee wa Dar es Salaam ndio wazee wa aina ipi? Na kigezo cha kuwa mzee wa Dar ni kipi? Na kwanini wawe wazee wa Dar es Salaam na isiwe Mtwara, Dodoma, Singida na sehemu zingine?

Na mara nyingi nawaona tu wazee wamevaa barakashia, msuli na kobazi tu waki enjoy ubwabwa wa bure na wengine wakinywa alkhasus, kahawa na kashata tu na wengi wao ni kutokea kariakoo na magomeni na sio sehemu zingine kama Mbagala, kimara au Buza?
Ulozi tu!!
 
Wazee wa CCM hao, 'comedy show' bado linaendelea!
 
Ni wale wazee wanaopiga miayo kwenye mikutano ya ccm wakiwa na ma t-shirt ya ccm.

Ila sasa watakuwa wamepewa kanzu na makoti ya suti, hao ndio wazee wa dar.
 
Hivi wazee wa Dar es Salaam ndio wazee wa aina ipi? Na kigezo cha kuwa mzee wa Dar ni kipi? Na kwanini wawe wazee wa Dar es Salaam na isiwe Mtwara, Dodoma, Singida na sehemu zingine?

Na mara nyingi nawaona tu wazee wamevaa barakashia, msuli na kobazi tu waki enjoy ubwabwa wa bure na wengine wakinywa alkhasus, kahawa na kashata tu na wengi wao ni kutokea kariakoo na magomeni na sio sehemu zingine kama Mbagala, kimara au Buza?

Waliostaafu uongozi wa CCM. Sijapoteza mtu kwenye familia yangu lakini ndugu zetu wa kitanzania waliouwawa waliniuma mno. Mpaka sasa siko njema kabisa, nikikumbuka watu walivyouwawa kama nguruwe na humanlife rangers wa tanzania.
 
1.Ni nani aliagiza watu wapigwe risasi na kuuawa vile?
2.Wapigaji risasi wale ni wakina nani na wapo wapi?
3.Ni kwanini uchaguzi ufanyike kwa namna OVU kwa kiwango kile?
4.Watu waliokufa wapo wapi?
5.Wataongozaje taifa la watu wasiowataka?
6.Ni nani anayeteka na kuua watanzania?
Waliotekwa wapo wapi?

Haya maswali wayatafakari na wayazingatie.
 
Ni wazee wa ccm waliowekwa kwenye mfumo usio rasmi kitaifa wa kuwa upande wa CCM kwa kila jambo
 
Kwa jinsi yule Padre alivyoharisha jana naamini Mama leo itabidi abadili hotuba. Maana daah sio
 
Back
Top Bottom