Hivi watu wanapataje mimba bila kujipanga?

Hivi watu wanapataje mimba bila kujipanga?

Kuongea ama kuandika rahisi sana, kazi kutekeleza hata muongeaji hushindwa kutimiza.
 
Hayo maisha unayoyataka ya bongo muvii, yanapatikana kwa wenzetu
 
Duhhh I smell a lot of immaturity in ur post...umedescribe 'ideal' life,sio wote wako hivyo,tuko tofauti
Na sometimes vitu vingine ni vzuri vikiwa surprise
Anyway ukikua utaelewa
 
mtoto huyu movie na tamthilia zimemuharib..

hajui maisha yalivyo...

Duhhh I smell a lot of immaturity in ur post...umedescribe 'ideal' life,sio wote wako hivyo,tuko tofauti
Na sometimes vitu vingine ni vzuri vikiwa surprise
Anyway ukikua utaelewa
 
Mimba nyingi zikiwemo za wanafunzi ni za ajari katika kustarehe. Tatzo ni sheria zetu katika kukabiliana na hiyo ajari. Ni kama hakuna remedy halali. Nilipost hatari ya ongezeko la watu kufikia 2050( kufikia mil 90 au 130 au 140!) kuwa maliasili hazitatosha watu wake. na nchi haitaendelea mana hakuna wakat bajet itatosha. Ili uruhusu wingi wa watu kama nguvukaz au soko(mfano china) lazma rika zote zishiriki kikamilifu katika uzalishaj mali, na katika hili tuko nyuma sana zaid ya 50% ya watu ni tegemezi wakiwemo watoto na watoto wa watoto. Nadhan tuanze kuangalia njia za uhakika za lazma kudhibit uzaaji ovyo ikiwemo kuruhusu kutoa mimba. Haiwezekan mimba iingie bila uhitaj na isiwepo namna halali ya kurekebisha hali. (DINI, KUNA WAKAT,NI KIKWAZO CHA MAENDELEO KAMA ILIVYO DEMOKRASIA ILIYOTAPANYWA!)
 
Back
Top Bottom