housegirl
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 3,125
- 2,191
Mimi naona mtoto ni bonge moja la project.
Mkiona muda umefika,
¶Kwanza mnaacha pombe mwaka mzima kusafisha mbegu na mayai, sio unazaa mtoto unawaza huyu kuna vinasaba anakosa? Binti yetu amefanana sana na babu!
¶Halafu mnaacha makemikali ya uzazi wa mpango msawazishe hormones.
¶Halafu mnaanza diet ya kueleweka muwe fit, mzaege Genius, tena nasikia Congo kuna mapacha sana kwasababu ya kula magimbi, basi ni kupiga magimbi mwaka mzima.
¶Mnaanza na mazoezi kama mama ni Mercedes Benz that's not healthy, ili hata ukishazaa uwe umezoea mazoezi ufanye urudie mwili wako wa zamani, huku baba anaSupport.
¶Halafu mnajitahidi kupunguza stress, hasa financially. Hivi kuna kitu kizuri Kama kujua account zenu balance inaongezekaga tu, haipungui!
¶Halafu mnadunduliza na za kumspoil mama, mpelekane kujifungulia Yurope au Marekani ili mpunguze maumivu na epidural, kisa cha kuweweseka masaa 48 kupitisha fuvu huko wakati unaweza kutulia tuli husikii kitu.
¶Au basi hata dunduliza ajifungulie Regency hapo, akwepe makofi ya Mwananyamala.
¶Halafu mnaangalia family medical histories zenu. Rhesus factor, magonjwa ya kurithi kama magonjwa ya akili, kisukari, cancer, unakuta upande wa mwanaume wanawake mimba zilikuwa zinatoka sana, kuna genetic abnormality wanao wanaweza kurithi basi mimba zinatoka tu! Uko tayari kulea mtoto mwenye mahitaji maalum?
¶Mwanaume mwenyewe anakujali au ndo unakishikisha ili akugande? Wanaume hawa wa mwendo kasi utalea peke yako! Unless uko sharp ukamsemee Ustawi wa jamii na ikishindikana mahakami kabisa. Sasa shida zote za nini!
¶Huku mnaendelea kujitayarisha kisaikolojia, mnasoma makala za malezi, mnanunua vitabu vya discipline, sio mnawaza kutia mtoto mijeledi hadi anyooke, ndo mana bara halina wagunduzi. Ni mifugo tu.
¶Yani inakuwa bonge moja la project, ndo utajua huyo bwana ni father figure au sperm donor?
Kisa cha kuzaa na mtu hakusindikizi clinic hata! Anashika mtoto akiwa anacheka na kunukia tu? Mtu haoni umuhimu wa kubond na mtoto?
Kuzaa na mtu anayeongelea kudunda watoto kwaweli kwangu huko mbele Kutatokea MTAFARUKO MKUBWA sana. Children are like DOGS. They need to be trained and rewarded. Mtoto mkaidi/mtukutu lazima kuna vitu mmekosea toka mwanzo.
¶Halafu mtawaza kuwa wazazi kwa matineja halafu muamue kama bado mnaendelea na mipango yenu ya kuzaa (I DON'T WANT TO BE A PARENT TO A TEENAGER!!!!).
¶Tujitahidi tufanye maamuzi kiakili na sio kihisia. Mawazo ya kuzaa yakija inabidi uchore maisha yako yatakavyokuwa, ili usiwe mzigo kwa wengine na mtoto asiteseke. mtoto akiumwa unaitishwa mchango!! school fees michango! baba akifa/akiwatelekeza ndo hamjiwezi!
¶Kwa wale wanaoona muda umeenda na hamna dalili yoyote ya kubadilika kiuchumi basi wanaamua kujilipua, nyie kubalini tu mmeamua mtaleta mtoto kwenye umaskini na mnategemea bahati.
Wala msiseme Mungu atawasaidia huko mbele. Watoto kibao wanakufa na njaa kila siku, Mungu angeweza kuwasaidia kwa kukupa moyo uwatunze. Lakini aje akusaidie wewe kwa kutuongezea umaskini! Lol. Anyways its non of my business!
Good Afternoon.