Hivi watu wanapataje mimba bila kujipanga?

Hivi watu wanapataje mimba bila kujipanga?

Umenikumbusha maneno ya mama angu.
Yeye husema, " Hata Mungu kabla ya kumuumba binadamu alifanya maandalizi ya mazingira ya chakula, hewa, mwanga na vingine. Sasa hawa wa bahati mbaya kumleta kiumbe duniani siwaelewi kabisa."
naomba kama unaweza unielezee ni vipi wewe umeelewa hii post ni ya kujipanga kabla ya kuzaa, na wengine kuona maruweruwe?
 
huku kila kitu kinaenda kwa Neema ya Mungu.

nilikuwa na jirani anamuacha mtoto anatambaa nje anakula mauchafu, ukimwambia anasema "mwanangu anaishi kwa Neema ya Mungu tu". halafu baadae mtoto anaharisha ananiuliza "maziwa yangu yatakuwa yameexpire?"

watu hawatumii uzazi wa mpango wanatotoa watoto hawawezi kuwatunza, mimba ingine ikishika "kila mtoto anakuja na Neema yake".

msichana wa shule anashika mimba kwa mbwembwe zote baadae anaimba "kwa Neema ya Mungu nitaweza"

kwa akili hizi hatutakaa tuendelee kamwe. tutakuwa omba omba, unhealthy, unhappy people always.

ambayo hamuwezi muachieni mungu, lakini kwa mambo mnayoweza kuControl kama uzazi, basi msibweteke.

sawa mama, unaongea sababu unacho ulichonacho, ukikikosa utajua umuhimu wake
 
Msomi wa kike uko vizuri but i wanna alerting you that fighting to be total correct politically, socially and economically will let you down!!....... Trump is more accepted by republican members only because he don't wanna be politically correct and i think he is right!
 
mimi huwa sielewi mafumbo. hivi hamuwezagi kuwa straight?

sijui unaongea nini. kwamba ningekuwa maskini ningetaka mtoto kisa sina sina uwezo?

huu pia ni umaskini wa fikra coz hata huwa hawawazi quality ya maisha ya mtoto na furaha yake. wanawaza furaha yao wenyewe na eti mtoto ndo atakayehangaika atoke.
Usinilishe Maneno, sijaandika lolote kati ya hayo!
 
housegirl uko vzr sana, ila kama naona unazungumza na watu wenye kipato cha juu tu, je sisi wenye kipato cha chini hizi point zako zitaapply kweli?

well done mwayego!
 
Mada nzuri sana. Sipendi kuona watu wakizaa ovyo. I just don't like it. Unazaa tu, zile enzi za "kila mtoto na rizki yake" hazipo.

Kwanza TZ ipitishwe sheria ya mambo ya uzazi, we just bear kids bila mpango.
 
niliona jamaa ilinigusa sana na sana....

maisha haya ni neema tu.. usimcheke mtu yeyoye au kumuona mjinga..

nilikuwa na huzuni kuona b mkubwa anaumwa. siku niliyoona ile kipindi nilipata kama nguvu hivi mara 3

nilikuwa namuangalia kijana mmoja clouds aliyekuwa anaongelea neema za mungu, alienda baharini na wenzake ku-dive akagonga jiwe akavunja shingo, akapararaiz, hiyo ilikuwa 2007 mpaka leo yupo kitandani, neema tulizopewa huwezi kuzijua mpaka uzikose, shukuru kama haijakutokea usiwaone wengine wajinga
 
thanx for the lesson, ila dah uongo mbaya hii mitoto yetu bila dozi hainyoooki, toto likizingua anaonywa akizidisha ni mikwaju tu maana hakuna namna.
 
nilikuwa namuangalia kijana mmoja clouds aliyekuwa anaongelea neema za mungu, alienda baharini na wenzake ku-dive akagonga jiwe akavunja shingo, akapararaiz, hiyo ilikuwa 2007 mpaka leo yupo kitandani, neema tulizopewa huwezi kuzijua mpaka uzikose, shukuru kama haijakutokea usiwaone wengine wajinga
ebana eeh comment nzuri sana hii.
 
niliona jamaa ilinigusa sana na sana....

maisha haya ni neema tu.. usimcheke mtu yeyoye au kumuona mjinga..

nilikuwa na huzuni kuona b mkubwa anaumwa. siku niliyoona ile kipindi nilipata kama nguvu hivi mara 3
yaani sasa hivi natambua hilo na nina heshima sana, hata hv vidole hata haya macho tunayotumia kuchat humu ni neema tu kuna watu wanatamani wangekuwa nayo.. achilia mbali hii akili
 
sawa Mkuu...hizo ndoa za vitabu...

it is not easy as you think..
katika real life situation...

ingawa ni bandiko zuri kama Huishi Tanzania.
 
Back
Top Bottom