LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 4,986
- 13,772
sisi hatujui, tuwaulize nyie mnaopigwa denda baada ya kula vya watu!!.
Kwanini hujamwambia yeye na unakimbilia mtandaoni kupost?Heshima yenu wana jukwaa, mimi huwa najiuliza hawa watu wanaonukaga midomo huwa hawajijui kwani.
Kuna mbaba mmoja huwa anakujaga hapa ofisini kuna muda anaweza akawa anaongea karibu na mimi namsikia kabisa mdomo wake unatoa harufu, sasa najiuliza hata nyumbani mke wake ameshindwa kumwambia, yeye mwenyewe je hasikii hiyo harufu.
Kwa mnaofahamu hili tatizo dawa yake ni nini, tuwasaidie watu wanaopitia hii changamoto.
Nimetamani niongee tu na wewe baaasi.Abee mkuu
Ukiwa na nia njema moyoni hata ulimwambia mtu jambo gumu kiasi gani hakuna shidaLakini kumwambia mtu ambaye anaweza akawa hajui kama ana hilo tatizo ni kipengele
Huyo ni shabiki wa Utopolo au😁😁😁
Mwanaume akiwa na hela wadada hata anuke mdomo vipi mmo tuu. Mkishaachana ndo mnaanza ooh nilikuwa nae kimaslahi.Usafi wa kinywa kwa kina unahitajika, Wengi wao huwa hawasugui Ulimi na mswaki.
Sipendi mtu anae toa harufu kinywani, huwa naboreka, nawaza mwenza wake anawezaje kuvumilia Denda? Au kupumuliana.
Hiyo harufu, Woiiiiiiih.
Binti sayuni
😁😁😁kinyozi wa wapi huyo
Sio wotee, Sio kivilee.Mwanaume akiwa na hela wadada hata anuke mdomo vipi mmo tuu. Mkishaachana ndo mnaanza ooh nilikuwa nae kimaslahi.
Pumbavu.
Kwangu mimi hapana kwakweliMwanaume akiwa na hela wadada hata anuke mdomo vipi mmo tuu. Mkishaachana ndo mnaanza ooh nilikuwa nae kimaslahi.
Pumbavu.
Yupo hapa matejoo karibu sana 😂😁😁😁kinyozi wa wapi huyo
Nitaanzia wapi mkuu, si atajisikia vibayaKwanini hujamwambia yeye na unakimbilia mtandaoni kupost?
Akhuuu mimi ndiyo maana sinyoagi nasuka zanguYupo hapa matejoo karibu sana 😂
Na Wengine Sasa ni Viongozi😅😅Yaani ni aibu kubwa sana mtu mzima kunuka mdomo na ni kero pia, kwa wengine
Huu ni ukatili wa kijinsia🤣sisi hatujui, tuwaulize nyie mnaopigwa denda baada ya kula vya watu!!.
Je kudhalilisha watu mtandaoni unahisi ni sahihi?Nitaanzia wapi mkuu, si atajisikia vibaya
Mimi nadhani mtu wa karibu kabisa angeanza kumwambia ni mke wakeUkiwa na nia njema moyoni hata ulimwambia mtu jambo gumu kiasi gani hakuna shida
Hii ni kwel ila unaweza puliza hewa yako ya kinywa tu kwa kuziba na mkono ukajua.Hawajijui, hata wewe unaweza kuwa ubanuka mdomo ila ni ngumu watu kukwambia.
Wanawake ni watu wenye roho ngumu sana na katili. Mimi mwenyewe huwa najiuliza unawezaje kuvumilia harufu ya pombe+sigara?Usafi wa kinywa kwa kina unahitajika, Wengi wao huwa hawasugui Ulimi na mswaki.
Sipendi mtu anae toa harufu kinywani, huwa naboreka, nawaza mwenza wake anawezaje kuvumilia Denda? Au kupumuliana.
Hiyo harufu, Woiiiiiiih.