Hivi watu wanaonuka midomo huwa hawajijui?

kiss ov love

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2025
Posts
9,363
Reaction score
16,092
Heshima yenu wana jukwaa, mimi huwa najiuliza hawa watu wanaonukaga midomo huwa hawajijui kwani.

Kuna mbaba mmoja huwa anakujaga hapa ofisini kuna muda anaweza akawa anaongea karibu na mimi namsikia kabisa mdomo wake unatoa harufu, sasa najiuliza hata nyumbani mke wake ameshindwa kumwambia, yeye mwenyewe je hasikii hiyo harufu.

Kwa mnaofahamu hili tatizo dawa yake ni nini, tuwasaidie watu wanaopitia hii changamoto.
 
Usafi wa kinywa kwa kina unahitajika, Wengi wao huwa hawasugui Ulimi na mswaki.

Sipendi mtu anae toa harufu kinywani, huwa naboreka, nawaza mwenza wake anawezaje kuvumilia Denda? Au kupumuliana.
Hiyo harufu, Woiiiiiiih.
 
Yaani ni aibu kubwa sana mtu mzima kunuka mdomo na ni kero pia, kwa wengine
 
Usafi wa kinywa kwa kina unahitajika, Wengi wao huwa hawasugui Ulimi na mswaki.

Sipendi mtu anae toa harufu kinywani, huwa naboreka, nawaza mwenza wake anawezaje kuvumilia Denda? Au kupumuliana.
Hiyo harufu, Woiiiiiiih.
Wengine wanajua usafi vizuri tu ila wananuka midomo , unakuta mtu anasafisha kinywa mda huo huo anatema dawa na kusukutua na maji.
 
FB_IMG_17420243294124489.jpg
😁
 
Wengine wanajua usafi vizuri tu ila wananuka midomo , unakuta mtu anasafisha kinywa mda huo huo anatema dawa na kusukutua na maji.
Kunuka mdomo Kuna sababu nyingi ikiwemo:
1. Akiwa na jino lililotoboka
2. Wagonjwa wa kisukari wana hiyo shida hasa kama hajaanza kutumia dawa au hatumii kwa usahihi.
3. Mlevi wa pombe
Tanbihi: Anayenuka mdomo hajielewi kama unapenda kumsaidia. Mshauri baada ya kunywa chai asukutue mdomo kwa hydrogen peroxide mouth wash mara kwa mara
 
Lakini kumwambia mtu ambaye anaweza akawa hajui kama ana hilo tatizo ni kipengele
 
Usafi wa kinywa kwa kina unahitajika, Wengi wao huwa hawasugui Ulimi na mswaki.

Sipendi mtu anae toa harufu kinywani, huwa naboreka, nawaza mwenza wake anawezaje kuvumilia Denda? Au kupumuliana.
Hiyo harufu, Woiiiiiiih.
na anaeongea hadi mate yanaruka...... Nipo na jamaa hapa naongeanae,nayaoga mate balaa,aisee!
 
Back
Top Bottom