Hili somo zuri
zuri sana, tena wazazi tuanzie kwa watoto wetu tuwakumbushe kila mara picking nose ni jambo lisilopendeza ili wakue wakijua hilo tulirudie mara nyingi :yuck:
Jamani, better being criticised mradi tu iwe ni constructive criticism. Na pia bora tunawe mikono yetu tena kwa sabuni. Im new to JF. Hi all!Asante. Jamani woote tujirekebishe. Inaudhi sana mtu anachokonoa pua afu anachezea makamasi kwa kuviringisha na vidole. Kuna siku nilimuona coaligue wa zamani kwenye tv doing just that! Huh! Especially kwa huku kwetu, ukiingia nyumbani tu au sehemu ya kula, na hasa ukitokea kanisani, nawa mikono yako na sabuni!
Ndio maana mimi huwaga sipendi kusalimiana kwa kushikana mkono na watu. Huwaga natoa fist pound tu...awe mkubwa au mdogo. Kuna watu hata wakimaliza kujisaidia msalani hawanawi mikono. Watu wanajishika madudu yao halafu eti waje kunisalimia kwa kunipa mkono...mtu akifanya hivyo nampa kiwiko...
heheheeeeee nyani ngabu umemaliza yoooote niliyotaka kusema, my self, no shaking hands with people ovyo ovyo especially men! maana wao kukojoa mpaka wayasaport madubwana yao kwa mikoni, kisha ajikune kune mapumbu , akimaliza kukojoa aikung'utekung'ute mboo kwa kuisukasuka halafu akitoka hapo akikuona tu ooooh mambo vipi? na mkono mbele, mie huwa najitia hata sijauona mkono wenyewe, napata picha ya mtu mwenye gonjwa la zinaa, we ulishike mkono mar aumetia mkono machoni aaaghh! hata sitaki kupata picha hiyo! mbona ya kushika pua chamtoto!!:angry: