Kweli aisee ukioa msambaa basi ukoo wake wote wanataka ww ndo uwe baba yao, kaka zake , dada zake woote watakuegemea ww . Ila kwenye mambo wako vizur, hasa kwa wale watundu wa tigopesa ndio watachanganyikiwa
Hawa watu ukiwa na mpenzi mmoja tu ukimgegeda kisawasawa nae anaenda kusimulia wenzake wanakuwa wanajileta wenyewe unajipigia tu!
Eka mambeza yako mosie, kajee vibweshuna vyako
Kumbe ni wazuri kiasi hiki?
Mwee ZUMBE?
Wachawi
si unaona na lugha zao zilivo sasa.sa nyokwengazi
si unaona na lugha zao zilivo sasa.
Naazinkwa nvingi waume hangi nndai antoiyeye shakiizi?
rubii thanks to The Almighty God am back nilipotea kidogo lakini hakukuwa na tatizo lolote bali nilienda kuongeza ufahamu kwa vitendo mambo yetu yale ya kiroho
Usha mghubo aha, sa katui
Naazinkwa nvingi waume hangi nndai antoiyeye shakiizi?
Nyoro bhebhe,
Pia wana sifa ya kuvumilia baridi mkuu uko juu milimani wanapoishi kuna baridi balaa sisi wageni uomba likizo mda wa baridi ukifika, wakati wao utinga tshirt na kwenda katika shughuli zao iwe baridi au joto