Hivi wapinzani kweli wapo serious kuchukua nchi 2020 au wanafanya maigizo ya kisiasa ?

Upinzani umesambaratika na unapoteza wakati bickering. Na chama tawala hakiwapi nafasi ya kusimama
 
Wapinzani wanatumia faida ya ujinga wa wafuasi wao kujinufaisha, hawana nia na ikulu na wala hawajawahi kuwa na nia. poleni sana mnaosubili lowasa/mbowe/sumaye et al washike ikulu.
 
Back
Top Bottom