Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,810
Ikiwa tumebakiza miaka mitatu kufanyika uchaguzi mkuu 2020. .....
Hadi sasa sijaona maandalizi wala dalili zozote kuwa upinzani 2020 tutachukua nchi.........
Nazungumza hivyo kutokana wapinzani naona wako bizee
1.Kumsakama lipumba.
2.Wako bize kumuandamana bashite na wengine kumfungulia kufungulia kesi
3.Wako bize kuikosoa serikali
4.Wengine wako bize kumfatilia na kumsikiliza yule mdada wa instagram amepost nini...........
Wakati sisi tupo bize kumjadili bashite,mangi n.K
Wenzetu kenya wapinzani waliamua kupigania katiba mpya na tume huru .
Sio kenya tuu hata wenzetu zambia,congo,rwanda, ug wapinzani walipigania tume kwanza mengine baadaye.
Lakini hoja za wananchi kama vile ajira, maisha bora upinzani wameshidwa kujadili wanatuletea issue za bashite, sijui vyeti mimi sijaona kitu cha maana.
Hivi wapinzani wa nchi wapo serious kuchukua nchi 2020 .
Hivi kwanini wasiige mfano kama Kenya,Congo, Rwanda walipoamua kuipigania katiba kwanza na tume huru na kijadili hoja za wananchi
Hivi ni kweli upinzani wapo serious wanataka nchi 2020 au wanafanya maigizo kisiasa ????
Haya mambo yanawavunja mioyo wananchi