Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,668
ata mie sio demu lakini ningekukatalia...kupenda mchezo...ungesema nakutamani angekuelewa[Ukimwambia mwanamke kuwa umemtamanh ndo umempoteza kabisa!
siku ya kwanza unamwambia lengo lako? lengo lipi hilo ambalo lipo linaelea elea tu na ukimwona mtu tu linamuangukia?[ kumbuka huna uhakika wa kumuona tena!
ata mie sio demu lakini ningekukatalia...kupenda mchezo...ungesema nakutamani angekuelewa[Ukimwambia mwanamke kuwa umemtamanh ndo umempoteza kabisa!
kweli sasa wewe kama hutaki kumpoteza demu hakikisha wallet yako imejaa na una mkoko wa ukweli hapo hamna maneno unamega siku hiyo hiyo
siku ya kwanza unamwambia lengo lako? lengo lipi hilo ambalo lipo linaelea elea tu na ukimwona mtu tu linamuangukia?[ kumbuka huna uhakika wa kumuona tena!
jamani mawasiliano si yapo? Ullitakiwa uunde urafiki kwanza hayo mengine yatajileta yenyewe.. We unakurupuka tu unafikiri atakubari kirahisi hivyo
hii topic inawahusu wanaume,haya tiririkeni jinsi ya kumpa line mtu mpka anakubali:confused3:[/HATA WW UKICHANGIA SIO VIBAYA!
umeona eeh...... Wana kazi ndugu yanguIla wakaka mna kazi aisee.....
haya mambo wengine sijui tungeyaweza!umeona eeh...... Wana kazi ndugu yangu
Umeonana na binti leo, na huna uhakika kama utakutana nae tena katika harakati za maisha! Lakini unapomwambia kuwa unampenda,anakuambia Haa! Mbona mapema kuniambia hivo? Sasa nawaomba wanabodi kuna ubaya wowote kukutana na mtu siku hyo hyo ukamwambia lengo lako?
Unakuwa Umempenda au umemtamani?
amemtamani tu ukute kesho akimuona hatamtaka tena.