Hivi wanawake simu zenu zina nini hasa?

Wanawake wanatabia ya kujipiga picha na video za sehemu zao mbalimbali za mwili wakiwa uchi hlf wanaanza kujichunguza hasa hivi vitoto vitoto..

Nyingine wanasave sasa unaweza kukuta kajipiga picha mstari mkuuu hlf kasave.

Hivi vitoto akili zao wanazijua wenyewe
 
Unakuta ukiishika tu simu ya mdada basi anakurukia huyo yaani usipokuwa makini anaweza hata akakutegua mkono wako.

Mkiwa mmekaa halafu ukawa kama unaisogelea simu yake basi asipoisogeza pembeni basi ataitia kwenye nyonyo kabisa.

Hakuna mdada anayeweza kukupa simu yake umpelekee kwa fundi asipoenda mwenyewe basi yupo radhi aendelee kutumia simu mbovu.

Akikupa umuwekee chaji basi atakukodolea mimacho huyo mpaka ajiaminishe hujafungua hata kama ameweka pattern.

Hivi mtuambie nyie viumbe simu zenu zina nini hasa kinachofanya zinawatesa hivi.
Wwww km.ww huwa unaruhus wao kushika kama sio ushike piah
 
Wanawake wanatabia ya kujipiga picha na video za sehemu zao mbalimbali za mwili wakiwa uchi hlf wanaanza kujichunguza hasa hivi vitoto vitoto..

Nyingine wanasave sasa unaweza kukuta kajipiga picha mstari mkuuu hlf kasave.

Hivi vitoto akili zao wanazijua wenyewe
Pambavu kumbe hivi vitoto
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom