Hivi wanawake mnawaza nini pale mnapotongozwa?

Siyo unawaza ukubwa WA pochi yake?
Ili iweje?
squirm.png
 
zamani nilikuwa nawaza harusi yangu na yeye ,game itakavokuwa etc
siku hizi sitongozeki naona anapiga tu tararira isiyo na msingi .namuona kibaka wa papuchi asie na maana
Miss natafuta kumbe uko kwenye mwonekano mpya.... hiyo new look inatikisa tasnia ya mitindo duniani.


Hahahaaaa dress to impress imekua kinyume chake hahaaaaa
 
Nahisi siku hizi watakuwa wanawaza namna ya kujibu punde fundi atakapoomba kufumua marinda yao!!
 
siku hizi unauliza tu "tunatoka lini?"...tayari wanakua wanajua nini kinaendelea...but i think na utandawazi ndio umepelekea mazingira kua hivi kua njia za kuelewana zimekua rahisi.
 
Kama natongozwa na mume wa mtu hua nawaza, hivi huyu ananichukulia kuwa sina akili au? Anataka kunifanya dumping area si ndio. Nawazaga tena na kujisemea huyu ni mnafiki wa kutupwa hanipendi wala nini bali ni muongo tapeli na hayapendi maisha yangu kwa sababu tayari ana mke wake.
Na kama hajaoa hua nawaza kama anataka tu kugegeda na kusepa imekula kwake sitoi mzigo. Wakati mwingine nawaza huyu ananijaribu au????
Nimependa hayo mawazo yako kwa asiyeoa
 
Back
Top Bottom